PICHA: ALIYEINGIZA SILAHA ZA MO29 HUYU HAPA

Kwani hiyo ndiyo picha ya Abduli? Yeye si ndiye tuliambiwa kuwa aliingiza container zima ambalo cdf alikataa kuwa siyo la kwao?
 
Kwani kama Nchi vikosini hatuna silaha mpaka ziingizwe na Mtu?
Huyu jamaa alikuwa mzee wa kazi chafu, bingwa wa kusuka wizi wa kura, kwaiyo kwa jambo la kuingiza silaha sina shaka.

Kuna jamaa aliuliza sehemu kama alikuwa anamiliki kampuni sita(6) ina hamna hata kampuni yake mojawapo haipo kwenye social media, ili kutoa zile salamu za pole kwa kuondokewa kwa boss wao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…