Vijana wamejiandaa/wameanaliwaje kuwa viongozi, ndilo swali la msingi na si wazee kuachia ngazi!View attachment 1293050
Kipindi nasoma tulikua tukiambiwa “You’re the leaders of tomorrow”. Ila cha ajabu mpaka sasa “tomorrow” wale jamaa bado tu wamenga’ngania madaraka!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaonyesha wewe ndiye mwenye stress na si yeye. Unaulizwa maswali ya msingi lakini unajigonga gonga badala ya kujibu!
Afrika kwenye siasa wanaingia matapeli na siyo wenye akili. Mimi kwanza sioni kama umri ni kigezo cha kuonyesha uongozi bora. Mnaweza kuongozwa na wazee wenye miaka 80 wote lakini wakawa wazuri kuliko wenye miaka 30.Vijana wa Afrika bado. Huoni wakipewa madaraka wanaishi kwa mihemko. Wengi busara ndogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afrika akina Le-mutuz ni vijana wachangaVijana wa miaka 32 wa Afrika bado bahasha ya kaki ipo mkononi....anazunguka maofisini.
Tuendelee kupigana tutafika huko.
Oyooooo shauri zakoBado yupo kwao sio huyo kiumbe
Njoo na ile dildo yako[emoji41]Oyooooo dogo naona unataka Msumari wa moto