Ankazominiotra
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 607
- 379
1. Kule wana very very strong institutions, na hakuna kujikomba.Vijana si tunao kwenye uongozi
Ila wengi wao hekima na busara zerooo
Bora twende na Hawa wazee wetu tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Wise up, Bro. Akili ya mwanadamu unazidi KUDUMAA kila umri ukizidi, tunasema Ukizeeka akili Inakuwa ya mtoto..Punguzeni kuiga na kufanya comparison ambazo hazina mantiki....
mazingira ya Ulaya na Africa ni tofauti sana
tek that to your wallet......
ahahaha umetishaa sanaaaaAfrica mtu anatoboa na miaka50 sasa akuachie akiwa na miaka70? Haiwezekani.......mfumo wetu wa maisha ndiyo sababu ya hilo
Utaongea siasa nyingi sana.....Wise up, Bro. Akili ya mwanadamu unazidi KUDUMAA kila umri ukizidi, tunasema Ukizeeka akili Inakuwa ya mtoto..
Ni aibu na fedheha kuweka mtu mwenye miaka zaidi ya 60 kuwaongoza wengine, uwezo wa KUFIKIRI, KUAMUA , KUWAZA a na KUWAZUA ni ndogo sana..
Nchi za Afrika tunaamini kuwa uzee ni busara, lakini sio kweli, mtu akiwa mzee maamuzi yake ni WOGA
Jaribu kufanya utafiti, wale viongozi wa Kiafrika waliopigania UHURU walikuwa na umri gani? Utakuta wengi wao Walikuwa katika miaka ya ujana yaani kuanzia 20-30..wakati wanapambana na mkoloni..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 1293050
Kipindi nasoma tulikua tukiambiwa “You’re the leaders of tomorrow”. Ila cha ajabu mpaka sasa “tomorrow” wale jamaa bado tu wamenga’ngania madaraka!
Sent using Jamii Forums mobile app
With due respect my brother. What can the dinosaurs offer ugandans?Kwa hivyo ww unataka kuiga kila kitu kutoka kwa wazungu!!?
Ni reality na nini sio reality ni mtazamo wa mtu husika..Utaongea siasa nyingi sana.....
but nilichoandika ndio reality
Unachobisha ni kipi hapa!!??Ni reality na nini sio reality ni mtazamo wa mtu husika..
Unaweza kuona unachoongea ni reality wengine wakaona unaongea pumba..
Ukweli utabaki pale pale nguvu za UJANANI haziwezi kuwa sana na nguvu UTUUZIMANI na haziwezi kuwa sawa na nguvu za UZEENI..
Sio kila jambo tufanane a wazunguKipindi nasoma tulikua tukiambiwa “You’re the leaders of tomorrow”. Ila cha ajabu mpaka sasa “tomorrow” w
Bado yupo kwao sio huyo kiumbeCc: Bushmamy toka hapo kwenu pls ushakua sasa[emoji41]
Sibishi kwa hilo, kwasababu Waafrika ni watu wa mwisho duniani, utampaje uongozi mtu ambae akili yake imeshadumaa,akili imerudi kuwa ya mtotoUnachobisha ni kipi hapa!!??
unless hujielewi
Mimi nakueleza kitu kinacho happen ....
on the ground right now....
kwamba kwa mazingira ya nchi za Africa
wanaokuwa favoured kwenye uongozi ni wazee ww unabisha!!?
ww unazungumzia illusions.....alaa
Alafu wao wanastaafu wakiwa na umri ganiii mi huwa nashangaaSibishi kwa hilo, kwasababu Waafrika ni watu wa mwisho duniani, utampaje uongozi mtu ambae akili yake imeshadumaa,akili imerudi kuwa ya mtoto
Miaka 55-60 anatakiwa awe ameshastaafu anakula mafao huko ni kutubania risk vijanaPunguzeni kuiga na kufanya comparison ambazo hazina mantiki....
mazingira ya Ulaya na Africa ni tofauti sana
tek that to your wallet......
Ndio ,lakini wakitoka hao na vijana tutapata mafanikio mapemaAfrica mtu anatoboa na miaka50 sasa akuachie akiwa na miaka70? Haiwezekani.......mfumo wetu wa maisha ndiyo sababu ya hilo
Kwaafrika bado sana