Meya wa kwanza wa Halmashauri ya kwanza kuendeshwa na ACT Wazalendo ndg. Hussein Ruhava. Pembeni ni Naibu Meya ndg Athumani Mussa.
![]()
Hata wewe kidampa na kuwadi.....maamuzi yote anafanya Mbowe
Kigoma sio jiji......najua kuwa unadhihaki
Mzee wa Mwandiga a.k.a condom ya Mkijani.Mwanasuasa msaka tonge,hajawahi tokea.
Daah!! Mkuu ulimwengu wa smart phone.Wazalendo na si maendeleo
Kigoma sio jiji......najua kuwa unadhihaki
Mazoea tu.....haya basi ni mwenyekiti......happy now?