Picha: ACT- Wazalendo yapata Meya Kigoma mjini

Picha: ACT- Wazalendo yapata Meya Kigoma mjini

Hussein na Mussa hawatafanya lolote zaidi ya kujenga misikiti
 
Heko, jimbo hilo ni tamu sn!

Nadhani hata uvinza huenda ikapata NCCR
 
hiki chama kina asili ya ukanda. makao makuu ni Dar ila mbunge madiwani na sasa halmashauri ni Kigoma Ujiji anapotokea kiongozi mkuu. haya twende mdogo mdogo

Na chadema na uchaga je?
 
Tanzania ina talent ya wanasiasa vijana wengi sana nje ya CCM; akina Zitto inabidi wasajiri watu kama huyu jamaa 'Abdul Kambaya' huyu jamaa CUF anabugi he is very talented katika vijana wanasiasa niliowahi kuwasikiliza and very opinionated with depth arguments sio kuangaika na akina afande sele kuelekea kuijenga ACT yenye vingozi wanaoweka quality mezani.
 
Anaejiita kiongozi mkuu wa Chama alikabidhiwa mikoba ya mkubwa wa tlp ya kuwa MPINZANI WA WAPINZANI
 
Back
Top Bottom