Picha: ACT- Wazalendo yapata Meya Kigoma mjini

Picha: ACT- Wazalendo yapata Meya Kigoma mjini

mcubic

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
10,310
Reaction score
6,548
Meya wa kwanza wa Halmashauri ya kwanza kuendeshwa na ACT Wazalendo ndg. Hussein Ruhava. Pembeni ni Naibu Meya ndg Athumani Mussa.

attachment.php
 
Attachments

  • zit mayer.jpg
    zit mayer.jpg
    49.7 KB · Views: 6,493
Hongera zao! Ila tatizo kubwa kwa vyama vyote vya siasa Tanzania ni kwa wabunge kupora madaraka ya Halmashauri walizomo. Amini usiamini Wabunge huwa hawafurahii kupata Mameya watakakofanya kazi zao kwa ufanisi.
 
wabunge hamsini mcubic hongereni utuletee habari za act cio cdm
 
Hongera zao! Ila tatizo kubwa kwa vyama vyote vya siasa Tanzania ni kwa wabunge kupora madaraka ya Halmashauri walizomo. Amini usiamini Wabunge huwa hawafurahii kupata Mameya watakakofanya kazi zao kwa ufanisi.

Zitto anapenda ufanisi....hivyo kwa maelezo yako kwake ni kinyume chake
 
Mleta mada mbona hujatwambia idadi ya kura walizopata na ACT walikuwa na madiwani wangapi na vyama vingine pia?
 
kumbe walikuwa na madiwani wengi hivyo?

hiki chama kina asili ya ukanda. makao makuu ni Dar ila mbunge madiwani na sasa halmashauri ni Kigoma Ujiji anapotokea kiongozi mkuu. haya twende mdogo mdogo
 
Vipi kuna dalili wamelazimishwa kufuata maelekezo ya uongozi wa juu kama CDM Tarime?
 
Back
Top Bottom