Picha: ACT- Wazalendo yapata Meya Kigoma mjini

Picha: ACT- Wazalendo yapata Meya Kigoma mjini

Zitto anapenda ufanisi....hivyo kwa maelezo yako kwake ni kinyume chake
Ni suala la muda tu. Kwa bahati nimekuwa karibu na wanasiasa wa nchi hii kwa zaidi ya miongo miwili sasa nikifanya nao kazi bega kwa bega. Wabunge huwa wao wanataka watambulike kwamba wako juu ya Mameya. Na Kama utanithibitishia kwamba hakuna mkono wa Zitto katika uchaguzi wa huyo Meya, naweza kidogo kutumia ule msemo wa Kiswahli "Subira yavuta heri".
 
Ni suala la muda tu. Kwa bahati nimekuwa karibu na wanasiasa wa nchi hii kwa zaidi ya miongo miwili sasa nikifanya nao kazi bega kwa bega. Wabunge wao huwa wanataka watambulike kwamba wako juu ya Mameya na Kama utanithibitishia hakuna mkono wa Zitto katika uchaguzi wa huyo Meya, naweza kidogo kutumia ule msemo wa Kiswahli "Subira yavuta heri".

Na tusubiri mkuu
 
mulijizika jangwani mlianza vizuri majina ya watorosha fedha yaliwaua jifunzeni
 
mulijizika jangwani mlianza vizuri majina ya watorosha fedha yaliwaua jifunzeni

Sisi tunapiga hatua kwenda mbele.....hatujajizika.......na wala hatujawah fanya mkutano jangwan
 
Hata wewe kidampa na kuwadi.....maamuzi yote anafanya Mbowe

Mbona hasira ghafla kisha waja na wimbo zilipendwa ambao hakuna mwenye kuusikiliza? Naomba ufafanuzi kidogo, picha hiyo ni kikao cha baraza la madiwani? Kama ni ndio, huyo jamaa mwingine hapo kulia anafanya nini high table? Au naye kaanzisha cheo kipya huko kinaitwa " Kiongozi mwandamizi wa Baraza la madiwani"?
 
Mbunge naye huwa anahudhuria vikao vya madiwani
 
Mbunge naye huwa anahudhuria vikao vya madiwani
Hilo nafahamu mcubic, lakini swali langu jee hapo ni kikao cha baraza la madiwani? Kama ni ndio inakuwaje Mbunge anakuwa high table na Meya na Naibu wake?
Jee kama Halmashauri ina wabunge watu au wanne sii itabidi na wengine wakae juu ya meza kabisa?
 
Last edited by a moderator:
Hongera ACT-Wazalendo, ni chama nitakachokwenda ikiniudhi serikali ya CCM maana kwa sasa sina chama baada ya babu kutia maguu chadema. Namkubali sana Magufuli mpaka sasa, nawaomba tumwombee wana jukwaa.
 
Hilo nafahamu mcubic, lakini swali langu jee hapo ni kikao cha baraza la madiwani? Kama ni ndio inakuwaje Mbunge anakuwa high table na Meya na Naibu wake?
Jee kama Halmashauri ina wabunge watu au wanne sii itabidi na wengine wakae juu ya meza kabisa?

Mbunge anashuhudia mameya wakitia sahihi kuthibitisha ushindi wao.....after all yy ndio kiongozi wa chama kilichoshinda na ni mbunge kwenye hilo jimbo.....tatizo nini ? Au neno zitto linakupa ukakasi?
 
Last edited by a moderator:
ccm b hadi mapambo wamefadhiliwa.......shame
 
Back
Top Bottom