Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea


Bas kigoma ingekuwa ngome kuu ya chadema kama zitto anaushawish kisiasa
 

Mkuu Kwa kuongeza ni kuwa mbowe alipaswa kufikiria mara mbili ni wapi walikotoka na ZITTO , ni wapi walikotoka na CHADEMA watu wameisotea sana chadema kipindi ambacho akina slaa walikuwa wamekumbatia WATAWALA , lisu na LEMA sijui walikuwa wapi . Leo hii hawa wamekaribishwa baada Ya Chedema kuimarika wanajiona wao ndo chadema Sanaa kuliko wengine Wanafaidi matunda Ya akina ZITTO .
Hii inauma San . Mbowe a litakiwa kuliona hilo mapema na kumuonya mtu kama LEMA ambaye ndiye chimbuko la haya yote .
 
Nahitaji kadi ya uanachama ACT. Niko Mozambiqui na niko tayari kuanzisha tawi huku.
 
Mkuu you said it all!
Nilikuwa naogopa kutoa comment kama hizi isije ikaonekana nami napalilia lakini ki ukweli hiki chama mlengo wake ndo huo bila chenga! Na hili lilikuwa ni tatizo pia hata kule alikokuwa kabla. It is not going to give them a value but it is going to affect ccm big time. Kitu wanacho ambacho wanaweza wakawa wamekubaliama na ccm pengine ni kupewa majimbo machache ya ccm ila wao wasisimamisha mgombea Urasi ili kura ziende ccm. Hii inaweza kuwa karata ngumu kuicheza kwa sababu huwezi ukawa mpinzani ukawaomba watu kura za ubunge halafu ukawaambia urais muwape ccm itakuwa ngumu kwa watu kumeza. Hili linawezekana kwa wanachama wao tu ambao wako brainwashed lakini si kwa watu wasio na chama na hawaipendi ccm!
Anyway ngoja tusubiri tuone ni kamchezo gani watakatumia ili wote baba na mwana wafaidike.
 
kwani hamjaona mikutano ya kinana karatu ilivyojaza watu ?
 

na askofu mkubwa kuliko wote wa kanisa kubwa kuliko yote yupo CCM
 
Unaonekana umati mkubwa wa watu lakini hakuna taarifa yoyote inayoonyesha kama kuna mwanachama yeyote toka CHADEMA akihamia ACT na kupewa kadi ya ACT.

Kwa kimbelembele cha ayatollar na wapambe wake kama kungekuwa na tukio la mwanachama wa CHADEMA kujiunga na chama cha ACT,tukio hilo ndilo lingebeba habari nzima kwa kuwa ACT wakifanikiwa kumpata mwanachama wa CHADEMA wanashangilia kama kipofu aliyeona mwezi.

Wangebahatika kumpata hata mwanachama mmoja tu,tungeambiwa kuwa tumepata wanachama100 toka CHADEMA,wangepata wanachama 100,hapo ndiyo tungesikia kicheko kikubwa kutoka kwa ayatollah na gego la mwisho la Mwl kaijage lingeonekana likiambatana na kichwa kikubwa cha habari kisemacho ACT yaibomoa CHADEMA.
 
Ngonini kuna watu wanaangalia kishabiki kuanziishwa kwa ACT wanadhani ita damage upinzani, binafsi naweza kusema hata yeye (Zitto) anafikra za kuvififisha vyama vingine na kubaki chake kiking'aa na hatimaye kuwa chama kikuu cha upinzani, he is totally wrong.

Ajue anapokanyaga wenzake walishakanyaga muda mrefu wana uzoefu.

Kazi anayoifanya Zitto na ACT sawa na kazi iliyofanywa na NCCR ya Mrema miaka ya 90, Mrema alifanikiwa kuhamasisha wananchi kuikataa CCM lakini tayari watu walikuwa na maamzi yao.

Leo ACT imekuja tayari watu wana maamuzi mkononi, nasema hivi kwa sababu gani kwanza Zitto mwenyewe hagombei urais je kura za urais atazielekeza wapi kumbuka kwake itakuwa vigumu kuzielekeza CCM, vilevile ni vigumu kwa ACT kusimamisha wagombea katika majimbo yote kwa hiyo hii lazima itakuwa advantage kwa UKAWA.

Ndio maana nasema ACT ni kama imekuja kuisaidia Ukawa kuwakumbusha watu wajiandikishe baadaye waikatae CCM kwenye sanduku la kura.
 
Last edited by a moderator:

Katika mikakati ya Zitto mashambulizi makubwa yatakuwa ukanda wa pwani ya Tanzania ambako ni ngome za CCM huko kuna mikoa ya tanga, pwani,na zanzibar sasa huko atapokelewa kwa mikono miwili na kuhurumiwa kuwa alikuwa akiteswa CHADEMA lakini akichukua hao wanachama wa CCM (maana CHADEMA )hawana wafuasi huko hao wafuasi watakuwa wapenzi wa CCM.Zitto anajua namna ya ku-penetrate huko na atafanikiwa sana. Kama unavyoona wana CCM wanavyomshangilia Zitto humu JF kwa vigezo vya dini na na kuiponda CHADEMA kwamba ina padri Slaa tegemea hivyohivyo katika jamii za pwani mbao nao wanaamini kwenye imani na si mageuzi
 
Mkuu Zitto ndiye anayetakiwa kufikiria zaidi ni wapi alitolewa na Chadema hadi kufikia hatua ya kukisaliti chama na kuanzisha chama chake,

Inauma sana kumgharimia mtoto kupata elimu baada ya kumaliza degree zake anataka kukufukuza kwenye nyumba uliyomkuzia, inatia uchungu sana TRUVADA.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo wewe unafurahia mtu anayetumia element za udini kupata wanachama, kama atatumia kete hiyo nakuhakikishia hatafika mbali hata hao waislamu anaowategemea siku hizi wameshabadilika.
 
Kwa hiyo wewe unafurahia mtu anayetumia element za udini kupata wanachama, kama atatumia kete hiyo nakuhakikishia hatafika mbali hata hao waislamu anaowategemea siku hizi wameshabadilika.

mi sishabikii naelezea kilichopo na matokeo yake kwa CCM wanaoshabikia haya mambo ya ACT. Soma maoni ya watu wa CCM na ACT utagundua hisia za udini na ukabila utaona habari ya hawa wakatoliki, hawa wachagga , chaggadema,chagadomo , kaskazini etc . Ninachokuhakikishia watu woote waliokuwa wanapenda upinzani lakini wameelemewa na udini watahamia ACT NA KUTOKA CCM maana walikuwa CCM kwamba bora hawa kuliko hao wenye paadri
 
ACT-WAZALENDO ndo habari ya mjini, ukabila tupa kule utakuta kikako cha kamati kuu wote ni famolia moja........ alafu nimegundua wafuasi weng wa chadema si wafuatiliaji wanasubiri kauli toka kwa mbowe ndo maana yapo kama magogo hayana hoja ni kupinga tuu
 
\

Nyie watu wa ACT wanafiki sana mnajifanya mnajua kuandika lakin hamna kitu yaani chama kimkumbatie mtu alie anzisha chama ndani ya chama? kama kumfukuza zitto CHADEMA itakosa kura za kwenye mitandao za watu kama nyie poa bora tusubiri miaka 20 kuliko kukaa na watu wasio waaminifu.ACT ikipata wabunge hata wawili tu najitoa JF.pICHA zenyewe zijieleza hicho sio kitu halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…