Pic of the day! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pic of the day!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bongo Pix Blog, Oct 18, 2011.

 1. Bongo Pix Blog

  Bongo Pix Blog JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,229
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  na yule jamaa SHUJAA alieuau igunga na magamba vp.? mbona hakupewa heshima kama hiyoo..?

  JE SABABU NI RANGI AU MILION 30..???
   
 3. Bongo Pix Blog

  Bongo Pix Blog JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maswali ni mengi sana, sina hakika tutakuwa na jibu lau moja tu!
   
 4. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Mhhh jamani mwacheni First Lady atumie kodi zetu kwa kuhani misiba. Mbona hata sie huwa tunakuwa selective katika kuhudhuria baadhi ya misiba? Bahati mbaya huku kwetu shamba habari huwa zinafikia baada ya ku-expire mjini,mtashangaa nauliza marehemu alikuwa na wadhifa wowote wa kiserikali, chama au kijamii?
   
 5. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wanamfariji nani mbona mtoto hana habari nao!!anawaza conflex na pringos!!
   
 6. K

  KIBONGOMKUTI JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Feis buku umenikumbusha maskani watoto wanapenda sana pringoz na cornflex. Wakati enzi zetu tunabamiza mihogo na viazi viliyokuwa vinachomwa kwenye samadi ya ng`ombe.
   
 7. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Current tenants wa white house wana "loho nzuriii" wanajitahidi sana kushiriki misiba ila huwa siwaoni pale inaposemekana aliyefariki anahusiana kwa njia moja ama nyingine na chama pinzani.
   
 8. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,623
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 180
  mbona hawa wachina walishawahi kumuua Mtz mwenzetu na hawakufanywa kitu!
   
 9. I

  IWILL JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 297
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mumuwe amesema wizara zitumie mbinu mbadala......nadhani mbadala umeshaanza. Nchi hii si ya amani tena.
   
 10. Bongo Pix Blog

  Bongo Pix Blog JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbinu mbadala! ndo zipi hizo?
   
 11. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,025
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  amekufa kweli au ni kifo feki ndiyo kahama tz kimtindo maana wachina kwa kubumba tu hawajambo
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,838
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 145
  hapo ndio sielewi

  Kova alisema zamani sana kwamba ukiwa hata na 10M kwanini usikodi gari za kusafirisha pesa????

  tulimdharau eh???

  Samahani sana lakini kutembea na 30M ni risky and they know it
   
 13. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,840
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  alikuwa mfadhili mzuri wa WAMA!
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,252
  Likes Received: 15,073
  Trophy Points: 280
  kumbe mama Kikwete ni yaya wa Wachina!!!!!!!!!
   
 15. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,648
  Likes Received: 782
  Trophy Points: 280
  Pale kujipendekeza kwa wahisani kunapotamalaki.
   
 16. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,914
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Huyu dogo anaelewa Kiswahili kweli?
  [​IMG]
   
 17. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kazi tunayo waTZ dhu!
   
 18. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
 19. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,604
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Hawa jamaa hawa!!!
  yani hawa Wachina Machinga anawaona kama ni wawekezaji?

  Mbona hata mimi nina gereji na nimeajiri vijana kibao tu na kuna vijana wengi wanajifunza mechanics!!!
  Au mwekezaji ni mchina mwenye gereji tu!! mbongo mwenye gereji ni pumbafu!!
   
Loading...