donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 774
Habari wakuu unajua mnanichekesha sana kwa kawaida Pie yani 3.14 ilipatikana ni kuwa kila mzunguko wa duara ukiwa na urefu fulani ukadivide kwa diameter ya lile duara husika unapata jibu lile lile ndo ikawa constant inayoitwa pie kwa hivyo ni uwiano tu ambao kiakili za binadamu ni jambo dogo kwa mtu ambae angekuwa anafanya kazi hizo angeweza kukadiria