Pi (3.14159...) Katika Biblia

Pi (3.14159...) Katika Biblia

Inakuwaje unam quote mwingine halafu unamjibu mwingine?

Nilikuwa namsaidia kujibu swali ambalo na yeye alikuwa anajibu kama mchangia mada. Ndiyo maana jibu langu hakulielewa bila kuelewa kwa nini hakulielewa.
 
Kosa kubwa ulilolisema katika swali lako ni kuwa pi ilijulikanaje zama za kabla ya sayansi? Nitakupa mfano, uhandisi wa majengo uliotumiwa kujenga mapiramidi ya Misri ulikuwa ni wa hali ya juu sana. Mapiramidi yalijengwa kabla ya Musa kwa sababu Musa baadaye ndiye aliwaondoa Wana wa Israel katika utumwa uliowafanya kujenga mapiramidi hayo. Na Musa ndiye aliyeandika vitabu vitano vya Agano la Kale (Mwanzo, Kutoka, Walawi, Hesabu na Kumbukumbu ya Torati).

Mimi Biblia yangu inasema hivi: Wana wa Israel waliondoka Misri 1520 BC. Na Mfalme Suleman alitawala 970 BC.

Sasa nikuulize, hiyo sayansi unayoizungumzia ilianza lini? Kama unazungumzia mwanzo wa sayansi iwe pale Bwana wetu Yesu Kristo alipopeleka Fadhila zake nchi za Magharibi, basi unazungumzia maugunduzi ya Wanasayansi wa leo wakiwemo Mathematicians na Physicists uliowasoma darasani. Baada ya Mwanakondoo aliyechinjwa kutawazwa kama ilivyo katika Ufunuo wa Yohana Aya ya 4, Aya ya 5 na Aya ya 6 ndipo dunia ikajaliwa sayansi na teknologia ya magari, treni na ndege na kuifanya dunia kuwa ndogo sana.

Lakini sayansi hii ilikuwa ni mwendelezo wa maarifa ambayo yalikuwepo tangu zama za kabla ya kuja kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Kulikuwa na refinements kulingana na mahitaji makubwa ya kuenezwa kwa neno kutoka Ulaya kwenda dunia yooote zaidi ya Israel. Kina Vasco daGama, kina Marcopolo, sema wewe na hao wengine.

Kwa hiyo pi ilikuwepo kabla ya Yesu Kristo.

Hapo kwenye red una maanisha waisrael ndiyo waliojenga pyramids?!!..angalia tena hesabu zako, you are bn mislead!
 
Hapo kwenye red una maanisha waisrael ndiyo waliojenga pyramids?!!..angalia tena hesabu zako, you are bn mislead!

Kasome miaka ya kujengwa mapiramidi na kuja kwa Musa kuwaondoa wana wa Israel kutoka utumwa wa Farao, Farao yupi alijenga hayo mapiramid na Farao yupi aliwaingiza waisrael katika utumwa wake. Nina hakika utapata majibu yako. They are mere historical events that do not require any scientific proof.
 
Kaka usiwe unameza stori za sunday school kama zilivo, chimba ndani. Uzuri wa historia ya pyramids ziko well documented, down to the dates! Mapiramidi yote makubwa na maarufu yalijengwa kati ya 2600BCE-1700BCE, wakati evidence ya kwanza ya Wayahudi kuonekana Misri ni 650BCE, nao hawakuwa watumwa, walikuwa kundi la wanajeshi kutoka Dola ya Persi! Evidence zinaonesha watu waliojenga mapiramidi walikuwa waajiriwa waliolipwa vizuri, data zipo na maelezo yote hata ukitaka kujua menu yao ya chakula! CHIMBUA KAKA
 
Nijuacho ni kwamba mathematics ni kitu au mazingira tunayoishi ila hatifahamu tu na naamini kuwa mathematics is part of our daily life na hatuwezi kukwepa mahesabu kwa namna yoyote
 
Hi everyone!

Katika kitabu cha Wafalme (1Fal 7:23-26), tunasoma kuwa Mfalme Sulemani aliagiza mtu mmoja aitwaye Hiramu kutoka Tiro, kutengeneza beseni(?) kubwa la maji (mfano wa mcheduara) kwa ajili ya kupamba Hekalu Jipya.

Ni wazi kuwa ili utengeneze chombo chenye umbo la mcheduara (cylindrical shaped object) itakulazimu angalau ujue matumizi ya Pi!

Ebu tuangalie vipimo alivyotumia huyu Hiramu mtu mwenye hekima na akili aliyetengeneza beseni(?) kubwa la shaba.

Kipenyo = mikono 10 (180 cubits), urefu kwenda juu = mikono 5 (90 cubits), Pi = 3.14159..., mzingo (circumference)?

Mzingo = Pi*kipenyo au 2*Pi*nusu kipenyo.
= 3.14159*10 = 31.4159 (appr. 30)

"Tena akafanya bahari ..., na uzi wa mikono therathini kuizunguka kabisa". Rejea 1Fal 7:23-26.

Swali la kujiuliza: hivi huyu Hiramu alijuaje kuwa ni lazima kutumia Pi enzi zile za zamani kabla ya sayansi na maarifa havijashika kasi kubwa?

(Ikumbukwe, Hiramu aliishi miaka 1011 BC)

Hata bila kujua PI mtu anaweza kuumba duara ilimradi anafahamu kipenyo kinatakiwa kuwa ngapi.
 
Kaka usiwe unameza stori za sunday school kama zilivo, chimba ndani. Uzuri wa historia ya pyramids ziko well documented, down to the dates! Mapiramidi yote makubwa na maarufu yalijengwa kati ya 2600BCE-1700BCE, wakati evidence ya kwanza ya Wayahudi kuonekana Misri ni 650BCE, nao hawakuwa watumwa, walikuwa kundi la wanajeshi kutoka Dola ya Persi! Evidence zinaonesha watu waliojenga mapiramidi walikuwa waajiriwa waliolipwa vizuri, data zipo na maelezo yote hata ukitaka kujua menu yao ya chakula! CHIMBUA KAKA

Mimi Kalenda yangu inasema hivi:

1.Kama 1850 BC: IBRAHIM anaondoka Ukaldayo na kwenda kuishi Palestina. Isaka, Yakobo na Yusufu wanaishi Palestina.

2. Kama 1700 BC:Jamii mbali mbali za Waebrania (Waisrael) wananza kutengemana huko Misri. Waebrania wanateswa na Wamisri

3. Kama 1520 BC: MUSA na Waisrael wanaondoka Misri wanasafirisafiri jangwani.

Ningeweza kuendelea kukupa nukuu za vipindi zaidi lakini havihusiki na mada yetu. Ni kweli Mapiramidi yalijengwa katika kipindi ulichotaja lakini Waisrael uliowataja siyo Waisrael waliokuw utumwani Misri.
 
acha kupotosha ,kama jambo hulijui nyamaza,kubali wewe ni maamuma.yusufu hakuwa mwana wa daudi,alikuwa mwana wa yakobo kabla ya daud miaka zaid ya mia 4 .
 
Mimi Kalenda yangu inasema hivi:

1.Kama 1850 BC: IBRAHIM anaondoka Ukaldayo na kwenda kuishi Palestina. Isaka, Yakobo na Yusufu wanaishi Palestina.

2. Kama 1700 BC:Jamii mbali mbali za Waebrania (Waisrael) wananza kutengemana huko Misri. Waebrania wanateswa na Wamisri

3. Kama 1520 BC: MUSA na Waisrael wanaondoka Misri wanasafirisafiri jangwani.

Ningeweza kuendelea kukupa nukuu za vipindi zaidi lakini havihusiki na mada yetu. Ni kweli Mapiramidi yalijengwa katika kipindi ulichotaja lakini Waisrael uliowataja siyo Waisrael waliokuw utumwani Misri.

Sentensi yako ya mwisho tu inamaliza kesi!! Uko sahihi kabisa, hao hawakuwa watumwa, ilikuwa garison iliyotumwa kwenda kumsaidia Farao Psammetichus (664 - 610 BCE) katika vita dhidi ya Wanubi, muda mrefu sana baada ya mapiramidi kujengwa, sasa hao watumwa walikuja lini misri na walijenga lini pyramids?!! FYI, zaidi ya kwenye Biblia, hakuna evidence yoyote inayoonesha kuwa kuliwahi kuwa na watumwa wa kiyahudi Misri! Hapo namba mbili unasema kuwa 1700BCE ndiyo Waebrania walianza kutengemana huko misri, wakati miaka hiyo tayari mapiramidi yalishajengwa, ni yapi tena waliyojenga wao?!!
 
we maamuma ukristo haukuanzia ulaya.ulianzia mashariki ya kati israel,ukapokelewa mapema asia ndogo yan syria,uturuk,macedonia n.k
 
Chonde chonde ndugu zangu wenye miyemko na itikadi kali za imani zenu nawaombeni sana kwa niaba ya wale wote tunaotaka kujifunza kitu kupitia uzi huu...jamani changieni hoja kwa kuvumiliana na sio kuoneshana umwamba wa kuijui dini yako na mwenzio tupeni fulsa yakujifunza toka kwenu na sio kushangaa maneno makali mnayotupiana..
Nimeona niliseme hili mapema kama taadhari maana experience inaonesha mijadala kama hii mwisho wake huwa sio mzuri.
Asanteni
Mbeky
 
Hi everyone!

Katika kitabu cha Wafalme (1Fal 7:23-26), tunasoma kuwa Mfalme Sulemani aliagiza mtu mmoja aitwaye Hiramu kutoka Tiro, kutengeneza beseni(?) kubwa la maji (mfano wa mcheduara) kwa ajili ya kupamba Hekalu Jipya.

Ni wazi kuwa ili utengeneze chombo chenye umbo la mcheduara (cylindrical shaped object) itakulazimu angalau ujue matumizi ya Pi!

Ebu tuangalie vipimo alivyotumia huyu Hiramu mtu mwenye hekima na akili aliyetengeneza beseni(?) kubwa la shaba.

Kipenyo = mikono 10 (180 cubits), urefu kwenda juu = mikono 5 (90 cubits), Pi = 3.14159..., mzingo (circumference)?

Mzingo = Pi*kipenyo au 2*Pi*nusu kipenyo.
= 3.14159*10 = 31.4159 (appr. 30)

"Tena akafanya bahari ..., na uzi wa mikono therathini kuizunguka kabisa". Rejea 1Fal 7:23-26.

Swali la kujiuliza: hivi huyu Hiramu alijuaje kuwa ni lazima kutumia Pi enzi zile za zamani kabla ya sayansi na maarifa havijashika kasi kubwa?

(Ikumbukwe, Hiramu aliishi miaka 1011 BC)

Kila penye duara au mche duara au nusu duara kuna pie, vitu hivi vilitangulia kabla ya ugunduzi wa Pi, hata wewe utakapofanikiwa kuchora au kutengeneza kitu chochote chenye uduara, ukifanya mahesabu ya mzingo au eneo utapata value sahihi ya Pi kama kipenyo utakisoma sawasawa. Hivyo inawezekana kuwa huyu mtu hakujua value ya Pi lakini kimahesabu unapata Pi = 3.14
 
we maamuma ukristo haukuanzia ulaya.ulianzia mashariki ya kati israel,ukapokelewa mapema asia ndogo yan syria,uturuk,macedonia n.k

Whats your argument BTW? Nani anajadili ukristo hapa?:dance:
 
hiram mtajwa ktk kitabu cha wafalme ndio hiram abiff.... yesu wa freemason!! huyu ndio mjenzi huru aliyeuawa akitetea kutotoa siri za ujenzi mpaka hekalu liishe kwanza!!! yeye pia aliuawa, akazikwa akafufuka cku ya 3 kwa mujibu wa freemason! hakujenga hekalu lile mpaka mwisho maana aliuawa kati kati na hao waliotaka siri za ujenzi!!! ndio maana freemason inaonyesha compass na square ya ujenzi.... chanzo ni huyu jamaa so kwa freemason aliyeuawa, akazikwa na kufufuka cku ya 3 si yesu wa nazareti ni huyu hiram alikua ni mjenzi wa majengo kwa utaalam wa hali ya juu alikua akiazimwa kutoka mataifa mbali mbali!!!
 
Kipimo cha cubits ni kipimo cha aina gain wakuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom