jogoolashamba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 348
- 71
Sentensi yako ya mwisho tu inamaliza kesi!! Uko sahihi kabisa, hao hawakuwa watumwa, ilikuwa garison iliyotumwa kwenda kumsaidia Farao Psammetichus (664 - 610 BCE) katika vita dhidi ya Wanubi, muda mrefu sana baada ya mapiramidi kujengwa, sasa hao watumwa walikuja lini misri na walijenga lini pyramids?!! FYI, zaidi ya kwenye Biblia, hakuna evidence yoyote inayoonesha kuwa kuliwahi kuwa na watumwa wa kiyahudi Misri! Hapo namba mbili unasema kuwa 1700BCE ndiyo Waebrania walianza kutengemana huko misri, wakati miaka hiyo tayari mapiramidi yalishajengwa, ni yapi tena waliyojenga wao?!!
Sasa wewe unapenda kumaliza unavyotaka wewe! Waisrael uliowataja (664-610 BC) hawakuwa watumwa lakini wale niliokutajia mimi wa 1700 (Waebrania-Hebrews) walikuwa watumwa na ndiyo waliojenga mapiramidi.