Derivation za Formula za projectile motion zinatokea kwenye equation of linear motion, 1st, 2nd, 3rd. Siku zote kwenye physics usipende kumeza formula unatakiwa kujua ku derive ,kila Uonapo swali unatakiwa kujua formular yake inatokea Wap.Kwani projectile motion inafuata straight line?
Mkuu ,projectile motion ni topic moja fupi sana kiasi kwamba ukifundishwa utaona nyepesi sana kimbembe kinakuja kwenye maswali hasa yale ya kuprove inabidi uwe umeiva haswa kwenye TrigHabari wanajamvi ??
Wanajamvi mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha nne mwaka jana(2016), ufaulu wangu katika masomo ya sayansi ni mzuri hivyo nina mipango ya kwenda Advanced level comb PCB au PCM
Lakini tangu nilipo anza kusoma physics yaani nakata tamaa maana kuna ki subtopic kinaitwa PROJECTILE MOTION yaana kila nikifanya swali lake nakosa. Please wanajamvi naombeni ushauri wenu katika somo hili.
Maana kubadilisha comb siwez sababu nilisoma TECHNICAL SCHOOL hivyo siwez soma comb za art wala CBG.
Umesoma kweli phys ya advance ww?Topic za mwanzo mwanzo zinakutia kiwewe ukifika za mbele mbele huko si ndio utakimbia shule....unasoma umalize topic au uelewe? Read it kwa pace yako...try and try several times mpaka uweze...kumbuka kukata tamaa ni dhambi.
Acha uongo kijana projectile ni topic ya ajabu sanaduh....kama projectile ni ngumu bora utafute masomo mengine mapema.
Kuna madude mengine huko mbele utakutana nayo hayana hata uhusiano na maisha yako ya kila siku. Afadhali hiyo projectile.
😀😀😀
NB: nakutisha tu dogo.....komaa hivyo hivyo kitaeleweka tu.
Naunga mkono hojaKomaa kijana... Physics ndio somo la wajanja wa mjini
Mimi ilinivua nguo kabisa nilipata F... Na ndoto zangu za kuwa daktari zikaishia hapo maana ilikula muda wangu wa kutosha mwisho wa siku nikaja kuharibu kwa biology na chemistry pia
Acha kumdanganyaPhysics ya A level inahitaji patience na dedication Fanya maswali kibao kwenye chand vipam vya mgote Ali Abdallah roger na vingine utashangaa kila swali unaliweza mwanzo mgumu sana mdogo angu vilevile mwisho ndo mgumu kabisaaa we jikaze halafu maswali hayaishagi A level
Basi inaonekana ulikuwa mbovu sana kwenye physUnahangaika na projectile!!!!, kuna wanyama akina wave ||, electromagnetism na electrostatic shida tupu
Bora useme wewe mkuuKwani projectile motion inafuata straight line?
Hapo mnakoseaUtafute na kitabu kinaitwa Rogers muncaster upige maswali ya projectile, ukiweza hayo utakua umeiva
sio kweli, chand ina topic zake, wave, heat, electrostatic na tism kidogo, ila ukitaka uchane mechanics soma UP hasa hyo projectile ukiiweza kujibu maswali ya projectile yaliyo kwenye UP huji kufeli mechanics,Hapo mnakosea
Kabla hajaenda kwenye Rogers Muncaster inabidi kwanza aanze na Chands na Nelkon kisha ndo aende Rogers Muncaster
Chands itamjenga then Muncaster itaenda kumkomaza.
Respicius kiiza???? over my dead body, nilikua sikipendi hiki kitabu na sikuwahi kitumia kabisaaHalafu siri ya phys ya advance hakuna kitabu utakachokisoma kikawa kina concepts zote
Inabidi usome vitabu visivyopungua vitano ili upate concepts kila kona
Tafuta vitabu hivi
1)Chands
2)Nelkon
3)modern abc
4)Rogers Muncaster
5)Tom Duncan
6)Calculations for A lev phys Vol 1%2
7)Respicius Kiiza
8)Reviews
Rogers Muncaster kina maswali tu maelezo yake hayajitoshelezisio kweli, chand ina topic zake, wave, heat, electrostatic na tism kidogo, ila ukitaka uchane mechanics soma UP hasa hyo projectile ukiiweza kujibu maswali ya projectile yaliyo kwenye UP huji kufeli mechanics,
chands yupo shalo sana kwenye mechanics