Physics ya A- Level inanitesa

Nakumbuka kubeba vitabu vikubwa kubwa hadi bega linauma..roger mancaster,college engineering,tom duncan,nelcon...unaenda prep..unarudi umesolve maswali 2 right out of 10...aisee..
 
Mdogo wangu hamna topics rahisi kama PROJECTILE MOTION "katika mechanics .naomba ungejaribu kurudia Topic ya motion in straight line. Mm ndo maana nasemaga "problem is not how to acquired the concept but the problem is how to implement the concept on solving different Kind of problems
 
usibadili combination fanya juhudi mwaliimu akishafundisha nenda karudie taratibu mpk ujue mahali ambapo hujapaelewa halafu unatafuta msaada kwa wenzako ikishindikana unakwenda kwa mwalimu.
ukishaelewa unapaswa kufanya mazoezi mengi sana ili kuweka concept kwenye fingertip.
kuna uhusiano kati ya rafu pepar utakazotumia kusolve na ufaulu katiak masomo ya sayansi solve sana yaani lakini baada ya kuelewa.
ukianza mazoezi kabla hujaelewa utajikuta kila swali unalogusa likakushinda na ni rahisi sana kukata tamaa
pia inawezekana unasoma tution mahali ambapo hakuna kuuliza maswali na walimu wengine wako fasta wamalize topic
 
usibadili combination fanya juhudi mwaliimu akishafundisha nenda karudie taratibu mpk ujue mahali ambapo hujapaelewa halafu unatafuta msaada kwa wenzako ikishindikana unakwenda kwa mwalimu.
ukishaelewa unapaswa kufanya mazoezi mengi sana ili kuweka concept kwenye fingertip.
kuna uhusiano kati ya rafu pepar utakazotumia kusolve na ufaulu katiak masomo ya sayansi solve sana yaani lakini baada ya kuelewa.ukianza mazoezi kabla hujaelewa utajikuta kila swali unalogusa likakushinda na ni rahisi sana kukata tamaa
pia inawezekana unasoma tution mahali
 
Soma unacho elewa ww icho icho kitakuvusha na kukusaidia kufikia malengo yako
 
Kwani projectile motion inafuata straight line?
Yah inafuata coz projectile ni two dimensional motion I.e horizontal and vertical motions, that's in many cases tunatumia concepts za equations of motion kusolve problems
 
Dah nimekumbuka mziki wa physics Advance inabidi ukaze sana,topic kama waves,mechanics sio mchezo nilikomaa sana mwisho nikaambulia c
 
Mdogo wngu komaa na shule usikate tamaa mapema hii ni dhambi kubwa ambayo utaifanya kukata tamaa, pigana jitahid kutengeneza concepts ya vitu unavyofundishwa utaona mambo yanakuja kunyookaa.

But kwa ulimwengu wa PHYSICS unahitajika kuwa na ushirikiano nayo ili ikupendee there's no way u can deal wit it by your own cz mambo ni mengi, try your best level kuhakikisha unatengeneza kampan ya kutosha ili kupambana nayo.

All the best doctor
 
Shukrani sana kaka
 
Shukran sana mkuu ntafanyia kazi
 
Kwahiyo physics ndo ilimkimbiza skonga..??
Aisee pole yake, ila hili lisomo ni noma sana
 
Physics sio projectile only, wewe jitahidi uielewe tu ila upambane sana kuisoma na kufanya maswali mengi by the way in your final physics exam projectile is among the optional questions you can choose it if you have mastered it or you can leave it and do those which you are capable of. Ila sometimes unaweza usiwe na option nyingine hapo ndo unakubidi ujitoe muhanga kulifanya tu bila kupenda.
 
Utafute na kitabu kinaitwa Rogers muncaster upige maswali ya projectile, ukiweza hayo utakua umeiva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…