Physics ya A- Level inanitesa

Nitafute
 
Mimi ilinivua nguo kabisa nilipata F... Na ndoto zangu za kuwa daktari zikaishia hapo maana ilikula muda wangu wa kutosha mwisho wa siku nikaja kuharibu kwa biology na chemistry pia
 
Kila la heri na baraka Mkuu usisahau kuleta mrejesho wa juhudi zako. Kumbuka mtaka cha uvunguni..........
Sharti ainame,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, shukran sana mkuu
 
Reactions: BAK
pole sana
 
Physics ya A level inahitaji patience na dedication Fanya maswali kibao kwenye chand vipam vya mgote Ali Abdallah roger na vingine utashangaa kila swali unaliweza mwanzo mgumu sana mdogo angu vilevile mwisho ndo mgumu kabisaaa we jikaze halafu maswali hayaishagi A level
 
una raha sana unasoma kipindi ambacho kuna google,u tube una smart phone matuition yapo kibao walimu wa physics wapo kibao ila unasema bado inakusumbua dah aisee ungesoma kipindi chetu jee hi physics kaza kijana komaa acha kulialia...
Kweli kabisa sisi zamani tumepata shida. Sasa ivi kina mgote na kina Mbuga mchikichini wapo, wanafundisha na ku google
 
i wish nchi yetu ingekuwa flexible kutoa courses nyingi za A level,vijana wetu wawe na choices,sio kusoma mambo maguuuuuuuuuuumu,kitu kama huki enjoy,you are bound to fail,ukichomoka sijui.....mnh
 
Unahangaika na projectile!!!!, kuna wanyama akina wave ||, electromagnetism na electrostatic shida tupu
 
Duuuhhh kaka yangu alikua Head boy Azania alichukua PCM ila hakufanya mtihani kabisaaa. Ila usiku anakesha anasoma analala mida mibovu siku ya mtihani alikuwa anakodiwa [HASHTAG]#Tax[/HASHTAG] kumpeleka na kumludisha kumbe alikua akishuka sijui alikua anaelekea wapi. Mwisho wa siku majibu yametoka kipindi icho majibu hadi kwenye (GAZETI) au ufike shule. Home tukawa tunanunua kila aina ya gazeti hatuoni jina na yeye anatafuta. Ilibidi tuende shule kuuliza why kumkuta mkuu wa shule anasema uyu anamiezi 8 hajaulizia shule, mama alilia sana hakuamini kilichotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…