Physics Haters.

Physics Haters.

Physics mbona rahisi sana mkuu kuliko. Sema attitude yako towards somo fulani na ile percieved difficulty ndio vinafnya watu washindwe na kuona somo fulani ni gumu
Hapo sio attitude hapo ni uwezo,vichwa vimetofautiana aiseee kuna watu waliipenda Physics kwa moyo wote lakini Physics ikawakataa
 
Heshima kwako mkubwa, kama ulizimaliza A zote kwa kweli NAKUHESHIMU SANA SANA SANA SANA

iLA KWANINI hUJAWA MWALIMU WA PHYSISC UISHI NDOTO ZAKO?
Nadhani vyuo vya Ualimu wanaosomea Physics Tanzania nzima kila mwaka wanaograduate sidhani kama wanafika 50 au 100 kwa Tanzania nzima
 
Nakumbuka miaka ileeeeee Pugu High school wale wa PCB na PCM moja ya masomo mepesi katika combination zetu ilikuwa Physics.
Mtu wa PCB Physics kuwa nyepesi naona harufu ya uongo,mtu wa PCM nakubali lakini PCB ,Physics Huwa inawalaza sana
 
Nakwambia ni rahisi kwasababu PCB tunakomaa na Chemistry na Biology ila Physics hatukomai na matokeo yakija tunafaulu vizuri Physics wakati Biology na kukomaa kote ukipata C mwanaume! Enzi zetu.
Somo rahisi kwetu PCB ni Physics ndio maana hatulikomalii na pass mark zinakuwa juu.
Ulipata A Physics?
 
Nilikua napenda saana hilo somo daah teacher flan mnoko kila akija class alikua na nongwa nami nikaona so mbaya nimsome shafii Adam shafii
 
Kwenye masomo ya Sayansi, physics ndio rahisi ukilinganisha na haya mengine...kwa mtu aliesoma sayansi nguvu kubwa sanaaaaaaa anakuwa nayo kwenye masomo mengine ya sayansi alafu anarudi kwenye physics kumalizia
 
Kwenye masomo ya Sayansi, physics ndio rahisi ukilinganisha na haya mengine...kwa mtu aliesoma sayansi nguvu kubwa sanaaaaaaa anakuwa nayo kwenye masomo mengine ya sayansi alafu anarudi kwenye physics kumalizia
 
Nakwambia ni rahisi kwasababu PCB tunakomaa na Chemistry na Biology ila Physics hatukomai na matokeo yakija tunafaulu vizuri Physics wakati Biology na kukomaa kote ukipata C mwanaume! Enzi zetu.
Somo rahisi kwetu PCB ni Physics ndio maana hatulikomalii na pass mark zinakuwa juu.
Ubaya physics hata ukikomaa inaweza kukutoa KO
 
Ubaya physics hata ukikomaa inaweza kukutoa KO
Aisee...thanks to Mr Mkongo(o-level) na Mr Machaga(a-level) waliifanya Physics iwe rahisi and enjoyable!
Hadi leo nakumbuka mfano wa Mr Mkongo kuhusu pressure,alisema kitu chembamba kina exert more pressure mfano wanawakr hawapendi wanaume wenye vidudu vyembamba vinawachoma sana, tulicheka darasa zima,I guess ilikuwa form 2!
 
Ninachoupendea uzi huu wa "Physics haters" wachangiaji wengi ni "Physics admirers".
 
Dah!! Since way back sana, niliitwa Newton, pindi Niko o'lever, cjutiii hapa nlpo, thanks [HASHTAG]#physics[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom