Physics Haters.

Physics Haters.

Advanced nilisoma PCB but my only interest was to see why a male's penis doesn't obey newton's law of gravitation, having to go erect like a nail without falling down against sexual stimulation(wenye matatizo ya nguvu za kiume hamuhusiki hapa naongelea kwa wale marijali tu) ahahahaaaaa
Cc. Mbitiyaza
 
baa53b316c1b2c312746ef987407c272.jpg

Hahahaha akaamua kumchafua mtaalam,

#physics_hater
 
Niliipenda sana Physics Advanced, hasa hasa topic ya Mechanics, kuna kitabu kinsitwa UP kina maswali mazuri tatizo vipimo vya kizamani....

Hakuna somo rahisi wala gumu, ni vile unavyolichukulia na mwalimu anaekufumdisha.

Masomo ya ngwini kwangu yananikimbiza hatari
 
Kwa sisi tuliosoma PCB advanced Physics ndio somo rahisi na huwa hatulipi kipaumbele...

Kama sie wa PCM tunavyoichukulia Chemistry...unajitahidi usipate F tu, S inatosha japo E inapendeza zaidi
 
vipi mkuu na we ni hater???

afu uzuri wa elimu yetu ukichukia somo sio lazima ulisome unalitema
Mi ni zaidi ya hater wa hilo somo maana marks kubwa nilio wahi kupata ni 45% nililikimbia mapema sana kidato cha pili
 
haha nakumbuka nilikuwa nalipenda sanaa, nikapambana nalo hadi IV, sikutaka shida advance ....woi
Mi ni zaidi ya hater wa hilo somo maana marks kubwa nilio wahi kupata ni 45% nililikimbia mapema sana kidato cha pili
 
Hakuna somo gumu wakuu kama ukikaa na ukasilikiliza walimu kwa makini. Tatizo watu wengi hua tunasoma Physics huku tukiwa tumepanic na wasiwasi kwa sababu ya stori tunazoambiwa na watu waliotangulia
Kweli kabisa! Hata mini najua hivyo. Hakuna somo gumu wala somo rahisi, ila mhusika anaweza kulifanya likawa gumu au rahisi.
 
haha nakumbuka nilikuwa nalipenda sanaa, nikapambana nalo hadi IV, sikutaka shida advance ....woi
Ulionesha nia ya kulisoma na kulipenda hukutakiwa kukata tamaa
 
Ni somo lahisi na wala halihitaji kuumiza kichwa kama history, history unaulizwa balozi wa nyumba kumi wa kwanza Japan alikua nani sasa unajiuliza kwa nn wasiulizwe Wajapani. Lakini physics unapewa swali unarejea formula unalimaliza.
 
Back
Top Bottom