Physics Haters.

Physics Haters.

Jagood

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
2,140
Reaction score
2,388
baa53b316c1b2c312746ef987407c272.jpg
 
Mi ni mwlm mwandamizi.acha kudanganya watu.physics ni ngumu.sio sawa na civics au history
Physics mbona rahisi sana mkuu kuliko. Sema attitude yako towards somo fulani na ile percieved difficulty ndio vinafnya watu washindwe na kuona somo fulani ni gumu
 
Ubaya kuna mtu kwake Physics ni mtori ila Geography ni ugali wa kisukuma bila mlenda hauwezi kuula

Wengine Geography ni mleeeeeeeeeeeeeeeenda.......physics walipiga wakazoea.......wayiiiiii
 
Back
Top Bottom