Ilinitokea nilipoenda Tanga, yaani nimefika saa 12 jioni nakuta Hiace moja tu ya kwenda Pangani imejaa nyomi, nikataka kuzingua,mwenyeji akaniambia,"usipopanda hiyo ndo mpaka kesho tena".Ukilikosa hilo ni mpaka kesho yake tena
Ukilikosa hilo ni mpaka kesho yake tena
Wafukuzwe kazi wakati ndo usafiri wa kuaminika na wa ExpressDuh....trafiki wa maeneo hayo hawajafukuzwa kazi kweli????