sijakariri ki2..... nahisi ujanielewa....maana ya 3D naielewa vizuri sana, hiyo Text ni 2D sema colours zilivyowekwa zinaifanya ionekane kama 3D... ebu angalia vizuri tena utanielewa 2,,, mfano wa 3D text
sijakariri ki2..... nahisi ujanielewa....maana ya 3D naielewa vizuri sana, hiyo Text ni 2D sema colours zilivyowekwa zinaifanya ionekane kama 3D... ebu angalia vizuri tena utanielewa 2,,,View attachment 63697 mfano wa 3D text
nimekuelewa. ndo maana nikasema effect. maana yake manipulation kitu kifanane na cha ukweli. anyways ishu ilikuwa sio 3d au lah. ishu ilikuwa ni kushea noleji kidogo. kama una wazo chochote shea tupate wote. au vp?
nimekuelewa. ndo maana nikasema effect. maana yake manipulation kitu kifanane na cha ukweli. anyways ishu ilikuwa sio 3d au lah. ishu ilikuwa ni kushea noleji kidogo. kama una wazo chochote shea tupate wote. au vp?
C6 , mi hutumia style tofauti kutengeneza *bling bling* effect. ila nimependa hii yako, its simple and quick. mie mpaka nitumie filter>noise>dust & scratches ili niweze kuweka glitter ya bling. matokeo kama hivi:
c6 , mi hutumia style tofauti kutengeneza *bling bling* effect. Ila nimependa hii yako, its simple and quick. Mie mpaka nitumie filter>noise>dust & scratches ili niweze kuweka glitter ya bling. Matokeo kama hivi:
ebana mi natumia adobe photoshop 7 shughuli bado ni tete kwa upande wangu! Curves sizioni yaani ni balaa mwanzo mwisho! Napenda sana nijue maujuzi haya ila maujuzi sina!!!!