leo tutengeneze 3D BLING BLING TEXT EFFECT
Hatua 1
andika neno ambalo tutalibadilisha kuwa bling bling likikamilika. Ukishaandika
Right click kwenye layer palette na chagua Rasterize layer, hii itafanya neno liweze kufanyiwa effect kwa urahisi
View attachment 63597
Hatua 2 fanya selection kulizunguka hilo neno,
kisha bonyeza kwenye keyboard "D"kurudisha rangi za asili kisha nenda
Filter>render> clouds
kama render menu haionekani, hakikisha unarudisha RGB mode. na inatakiwa itokee kama kwenye hii picha hapa chiniView attachment 63598
Hatua ya 3hapa unaenda kwenye. Filter> Distort> glassChagua tiny lens texture kisha ipunguze vipimo.tupia vipimo nilivyoonesha hapo chini. kisha bofya OKkinachofuata ni kuweka effect ya almasi aka diamonds.
View attachment 63599
hatua ya 3.5
ili kupata mng'aro kama wa almasi nenda kwenye Curves
igiza nilivyofanya kwenye picha mpaka upate mfano wa almasi kama inavyoonekana
View attachment 63600
hatua ya 4tushapata almasi yetu sasa kinachofuata tuizungushie dhahabu eneo loteHatua ya 5
View attachment 63601
nenda kwenye blending mode, kisha chagua stroke.
zingatia yafuatayo:
Position = Center
Fill type: colour
color= red
size fanya 9 au kumi ila izidi sana haitatokea poa
View attachment 63602
Hatua ya 6ukiwa bado kwenye blending modeClick Bevel and embossChagua "Stroke Emboss"technique: Smoothdepth: 100%gloss conour: chagua vimilima viwiliClick OKhatua ya 7
View attachment 63603
kinachofuata ni kuitoa hiyo rangi nyekundu ili iwe mfano wa dhahabuhatua ya 8
View attachment 63604
nenda kwenye Hue/Saturation adjustment layer na kipeleke kimshale cha saturation mpaka 100Cheza na Hue mpaka upate rangi ya dhahabu unayotakahatua ya 9
View attachment 63605
kitu cha mwisho ni kuweka ile ming'aro ya dhahabukwenye brushes chagua assorted brush setkisha chagua small starburst kama nilivyoonesha.
hakikisha rangi iliyo mbele ni nyeupe (foreground color)
View attachment 63606
hatua ya 10ongezea mng'aro wa dhahabu kutengeneza layer mpya na kuptisha tena brashi maeneo yale kwa kurudia rudia mpaka uridhike. mwisho itatokea hiviView attachment 63607
vipi umeweza.............?
yaani nimeangalia had nikaona nifumbe jicho moja, nikaangalia na moja tu, halioni, nikafinya yote, nikaigeuza laptop yangu chini juu, kushoto na kulia bado sielewi tu
1st. naomba hiyo adobe photoshop nidownload, kwa kuwa sina
2nd. ntarudi tena , hili darasa zuri sana
Nilidhani peke yangu............................hata sijaelewa, huu ukilaza nao huu..........
Mi nadhani tujutahidi kuwa wataalam wa kutumia miili na viungo vya miili yetu. Unasemaje mkwe?Nilidhani peke yangu............................
kila mtu na kipaji chake, mi ntakuwa nawalipa wanifanyie hizo photoshop. Nimekubali siwezi kuwa mtaalamu wa kila kitu!
Mkuu naona madogo wa FB wamehamia JF na sasa tunakomeshwa..............
huko nina uhakika ni mtaalamu kabisaaaaaaaaaaaaaa, yaani sihitaji brush tena MkweMi nadhani tujutahidi kuwa wataalam wa kutumia miili na viungo vya miili yetu. Unasemaje mkwe?