Photoshop [EXCLUSIVE]

Photoshop [EXCLUSIVE]

Sirbuni

Senior Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
103
Reaction score
33
Wale fans wa Photoshop (Wanaojifunza, Experts au wanaokuwa impressed na kazi za photoshop) tuchangie ideas hapa.
Kama unaswali, una tip au kuna picha umeedit,waweza changia hapa na wadau wengine wakacomment.
Express your skills in Photoshop guys..!!!
 
Me natumia Adobe Photoshop CS6 Extended. Iko poa sana na niliitumia kuedit hiyo picha hapo chini...
FACEBOOK SALE.jpg
 
Hivi mi nafanyaje kupata izo programs?Natafta izo nisome online mwnyw na kupractice home
 
kama uko dar ncheck nkupe cs6, daah bahati mbaya natumia simu ngetupia kazi zangu hapa
 
Ukipata pc weka mzigo tuone hayo maujanja...!!
 
Psd nyingi zinakuwa na large size so kwa wale wenye fast internet connection wanaweza upload kazi zao...
Kama kweli m2 ana skillz, zitaonekana 2 na kama anadownload za wa2 then anakuja kuuza hapa at the end atafahamika tu
 
sema ndo nimeanza soma nina kama mwezi na nusu online mimi bado sana mpaka nifike nakotaka bado sana. Ila mtu anaweza check hapa designs | Wix.com then aingie kwenye designs. But ni lazima uingie kwa comp coz nadhan browser nying za simu hazi support html5
 
Wix.com wanatoa free domains....So ipo vipi hii as far as Photoshop [EXLUSIVE] is concerned????
 
Wix.com wanatoa free domains....So ipo vipi hii as far as Photoshop [EXLUSIVE] is concerned????

ongesoma vizuri nilicho post ungeelewa. Ndipo kuna kazi nazofanya katika kujifunza photo editing uwa nazpost hapo kuna jamaa ndiye uwa ananifundisha online ili a review
 
humu itakua ni kujiproud tu mnatakiwa mueke psd ili mwenzako nae aone umefanyaje navowajua wabongo full ku upload picture

you have said it all bro...photoshop sio picha tu...there's a lot inaihusu
 
Wale fans wa Photoshop (Wanaojifunza, Experts au wanaokuwa impressed na kazi za photoshop) tuchangie ideas hapa.
Kama unaswali, una tip au kuna picha umeedit,waweza changia hapa na wadau wengine wakacomment.
Express your skills in Photoshop guys..!!!
mimi ni mtumiaji wa software zaidi ya 6 za adobe ila niliyobobea nayo sana na naitumia mara nyingi ni adobe after effect.inapofikia swala la motion graphics hapo hunitoi nipo mbele sana.Photoshop na Illustrator nazitumia ku-crop imagaes na kuzi-import AE kwa ajili ya utundu zaidi wa ki-animation.
 
daaah watu humu next level hope na sisi tutafka pande hzo maana naona watu full mautundu yasiyo jfcha kama mtutu wa jambaz, mimi nimeanza na photoshop, then nkiimaster nahamia illustrator, then after effects na elements
 
Kuna hizi aina za picha wanaziita abstract. Ni nzuri sana lakini ngumu mno kuzitegeneza.
 
ongesoma vizuri nilicho post ungeelewa. Ndipo kuna kazi nazofanya katika kujifunza photo editing uwa nazpost hapo kuna jamaa ndiye uwa ananifundisha online ili a review
Nimekusoma kaka.Me nilijifunza mwenyewe kwa kudownload vitabu na kuangalia tutorials youtube.
Ntaicheck tena hiyo site yako.
 
Jaribu mashable.com kuna topic inaitwa photoshop free tutorios,wamefundisha vizuri sana. ukipitia nifahamishe. asanteni.
 
Ya ukweli hii mbona, photoshop au illustrator umetumia? Psd yake huna?

Sina ! Hz zlikua kama sketch flan sema nkabadili colour tu.., nakuongezea ujanja kdogo! Lakn haina ufundi sanaaaa
422693_297025290361693_1119703860_a.jpg

Knacho nipa uvivu ku edit pcha za kawaida n kwamba nkiwa seriouz najkutaga nmeboronga
380594_376989925698562_946796071_a.jpg

Ila nkiwa nafanya utan najkutaga nmepatia
426736_396206803776874_1251854098_a.jpg
 
Back
Top Bottom