Elections 2010 PHOTOS: Tanzania decides 2010

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,221
5,139
kikwete_voting.jpg


MzozoMagomeni.jpg

Magomeni Mzimuni, police post, mzozo wa mtu ambaye picha yake haipo wanataka apige kura bila picha mawakala wamegoma
 
Hizi ndo zile zilizoripotiwa na jamiiforums kuwa kuna namba feki kwenye mtandao wa NEC
 
mkurugenzi wa tume ya uchaguzi anasema mtu ambae taarifa zake zinafanana sawa sawa na za kwenye daftari lakini picha haipo, aruhusiwe kupiga kura


na anasema wananchi wanaruhusiwa kujua matokeo ya uchaguzi hawaruhusiwi kutangaza tu hiyo ni kazi ya NEC
 
Back
Top Bottom