Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,590
- 28,761
lazima achunge dunia ya siku hizi watu si waaminifu..unaweza amka ukakuta zana zimetowekahahahahah.........ataki mchezo mana abiria chunga mzigo wako.
ha ha ha ..hawa panya wanajua wapi pa kuguguna tuu kwa nini wasing'ate pua??Inaonekana hapo alipolala kuna panya wengi sana, hebu angalieni alivyoficha essentials ili zisiliwe na panya.
haujui kama kuna panya watu.?ha ha ha ..hawa panya wanajua wapi pa kuguguna tuu kwa nini wasing'ate pua??
haujui kama kuna panya watu.?
Jamaa kaamua kushikilia mali yake isije ikaibiwa ndotoni
View attachment 57618
sanaaa na usipokuwa makini hata wewe utazikuta hazipo siku moja.Duh.ndio nawasikia leo..kwa hiyo huwa wanapedndelea sana maeneo hayaa
Mie nikimkamata anajipa raha bure bure natulia kama simsikii mpaka amalize...ila akimaliza namdaka alipie hudumaHa haaa usipoichunga unaeza kuta mtu kesha ikalia anajipa raha watu hawana dogo inaonekana nyumba iko full mpaka kalala kwa sebule.
ha ha ha ah ah a..itabidi nianze kulala staili hii daily....sanaaa na usipokuwa makini hata wewe utazikuta hazipo siku moja.
Jamaa kaamua kushikilia mali yake isije ikaibiwa ndotoni
View attachment 57618
enzi bado dmu ya moto.......anakumbukia enzi zile.......
sio wale wala supu ya pweza asubuhi asubuhiTehetehetehetehe Mkuu Asigwa umenifurahisha sana leo.....
We lazima utakuwa wale jama zangu wanaokula kitu mtori aseeeee..