Photo:sugu mbunge enzi akiwa shule | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Photo:sugu mbunge enzi akiwa shule

Discussion in 'Jamii Photos' started by Bilionea Asigwa, Aug 9, 2012.

 1. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,552
  Likes Received: 9,296
  Trophy Points: 280
  Sugu aka mbunge wetu jembe enzi zake akiwa bado shule. Ni huyu wa katikati aliyevaa kapelo.Kumbe tumetoka mbali sana. kutoka levo hizi mpaka uheshimiwa!! Big up sana SUGU aka THE JOSEEEEEEEE...
   

  Attached Files:

  • sugu.jpg
   sugu.jpg
   File size:
   22.2 KB
   Views:
   710
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magwanda tangu kitambo
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,912
  Likes Received: 694
  Trophy Points: 280
  From the street to the Parliament!
  [​IMG]
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,552
  Likes Received: 9,296
  Trophy Points: 280
  yp ni hatua sana kutoka mtoto wa kitaa mpaka mjengoni
   
 5. k

  khamsa Senior Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 17, 2012
  Messages: 155
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  awakumbuke na hao washamba wenzie sio anakula peke yake
   
 6. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 7,178
  Likes Received: 676
  Trophy Points: 280
  Ni kweli alafu na wewe mkono wa kushoto wa hiyo picha, sasa tumekufahamu pamoja na ID yako hiyo ya asigwa na unastahili sasa kuwa verified user kuanzia leo baada ya kuleta picha mliyopiga na Sugu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ha ha ha Wabongo mnauaaa ..hao ukute MaCEO au wabeba Mabox ChicaGo

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 8. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  mkuu umenivunja mbavu,nasikia huyo wa kulia ndio dereva wake na huyo mwingine ndo bodygurd wake.
   
 9. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,171
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Unaweza kukuta wapo juu zaidi yake mzee
   
 10. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,002
  Likes Received: 3,337
  Trophy Points: 280

  Duh nasikia enzi hizo alikuwa mtoro kweli mwalimu wa hisabati akitia mguu Sugu anaruka dirisha,maisha sawa na kend .. za mbuzi leo ni mheshimiwa sana.


  [​IMG]
   
 11. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 9,944
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Good sugu/.................a lesson to other fighters
   
Loading...