photo recovery from E-mail

rediicky

JF-Expert Member
Apr 1, 2019
235
390
Niende moja kwa moja,naombeni ujuzi wa kurudisha picha ambazo nimezifuta kutok kwenye E mail angu

kama kuna app inaweza fanya hivyo mnisaidie ni ipi
 
Niende moja kwa moja,naombeni ujuzi wa kurudisha picha ambazo nimezifuta kutok kwenye E mail angu

kama kuna app inaweza fanya hivyo mnisaidie ni ipi
Kma umeifuta huko ndio basi. Umeishaifuta kutoka kwenye server zao. Kma email client yako ina Bin/Trash angalia humo unaweza ikuta
 
Back
Top Bottom