๐—จ๐—บ๐—ฒ๐—ณ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐—ฝ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜†๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
Imetokea katika kushika Shika simu ukaweka kufuta picha zako pendwa kwa bahati mbaya kupitia simu yako utafanyaje ?

Photorecovery.jpg


Hii ni changamoto ya watu wengi sana wanaotumia simu za smartphone Kuna nyakati huwa wanafuta vitu vyao bila kutarajia.

Hakikisha unatumia app inaitwa photo recovery restore image hii ni app itakusaidia kuweza kurudisha picha , videos audio file pamoja documents ambazo umezifuta bila kutarajia kupitia simu yako.

IMG_20230626_175920_898.jpg


Utakua na uwezo wa kuziangalia na kuchagua picha, videos Gani unataka kuzirudisha kupitia simu yako kwa njia Rahisi sana.

โ€ข fungua app ukimaliza kudownload
โ€ข utaweza ku scan picha, videos, documents ulizozifuta kupitia simu yako

โ€ข chagua picha Kisha bonyeza restore kurudisha vitu ulivyovifuta kwenye kifaa chako

images%20-%202023-06-26T155709.290.jpg


โ€ข hata kama umefuta permanent kabisa kupitia deleted cache au junk photo zilizopo kwenye simu utazirudisha.

โ€ข unatumia free , huna aja simu yako hiwe rooted.

๐—ž๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—ธ๐—ฎ:
Ni muhimu utumie Google photo kuhifadhi picha , video zako muhimu pamoja na Google drive ikitokea umepoteza simu unaweza kuvikuta huko kwa usalama zaidi.

Ebu tuambie Unatumia njia Gani kurudisha picha, videos, documents ulizozifuta kwa bahati mbaya kupitia simu yako?

images%20-%202023-06-26T155726.197.jpg
 
shukran sana blood๐Ÿซก,agiza twist hapo bili juu yangu

yani kuna video nimeifuta jana tu nikajilaumu kichiz, now nimeweza kuirudisha
 
Back
Top Bottom