Yeye alikuwa na kutokuelewana na KARUME; Baada ya KARUME kuuwawa - Hanga akaondoka NCHINI...
Yeye alikuwa na kutokuelewana na KARUME; Baada ya KARUME kuuwawa - Hanga akaondoka NCHINI...
Ni kwasababu siku hizi uswahiba katika uteuzi ni mwingi. Anaona hawezi kumwacha jamaa yake!!!Cabinet la sasa hivi lazima hiyo picha upige kwa mbali ili waenee kwasababu ni wengi kama watu waliohudhuria mkutano wa CDM jana huko Arusha
Yeye alikuwa na kutokuelewana na KARUME; Baada ya KARUME kuuwawa - Hanga akaondoka NCHINI...
Mkuu acha kupotosha umma na kutukumbusha machungu Abdallah kasim Hanga pamoja na Othman sharif inasemekana waliuawa mwaka 1969 na Abeid Karumu.Kwa upande Abeid Karume alifariki 7/04/1972 kwa kupingwa na risasi!kwa kifupi Kasim Hanga alianza kufa kabla ya Karume!!!!