PHOTO: 1st RAINBOW UNION GOVERNMENT 1964

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
470956_460108357367536_278866029_o.jpg
 
Angalia ilivyokuwa diverse... Kwanini sasa hivi hatuna a diverse Government ? Tulikuwa na UMOJA na

UPENDO... Ingesaidia sana kwenye MAENDELEO ya NCHI YETU... TOGETHER AS ONE WE CAN SUCCEED...

We Were the First Real African Rainbow Nation !!!
 
  • Thanks
Reactions: FJM

Yeye alikuwa na kutokuelewana na KARUME; Baada ya KARUME kuuwawa - Hanga akaondoka NCHINI...

Mkuu kuna kitu hukifahamu juu ya hanga.....hanga aliuawa na huyo huyo karume baada ya kumuhadaa mwalimu na mwalimu kumrudisha hanga zanzibar baada ya kufedheheshwa hadharani na mwl
 
Cabinet la sasa hivi lazima hiyo picha upige kwa mbali ili waenee kwasababu ni wengi kama watu waliohudhuria mkutano wa CDM jana huko Arusha
Ni kwasababu siku hizi uswahiba katika uteuzi ni mwingi. Anaona hawezi kumwacha jamaa yake!!!
 

Yeye alikuwa na kutokuelewana na KARUME; Baada ya KARUME kuuwawa - Hanga akaondoka NCHINI...

Mkuu acha kupotosha umma na kutukumbusha machungu Abdallah kasim Hanga pamoja na Othman sharif inasemekana waliuawa mwaka 1969 na Abeid Karumu.Kwa upande Abeid Karume alifariki 7/04/1972 kwa kupingwa na risasi!kwa kifupi Kasim Hanga alianza kufa kabla ya Karume!!!!
 
Nikiacha kukupa like nitakuwa sijakutendea haki.Hii ndiyo ilikuwa sisiemu ya wachapa kazi.Yani hadi rahaa kuiangalia.Sijui watoto wetu nao baada ya miaka 20-30 ijayo wataipenda hii iliopo?
 
shamte_cabinet2.jpg

Na hao ndiyo cabinet ya Shamte ambayo iliondolewa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar,ndo cabinet hiyo wanayoitaka kina Barubaru
 
Last edited by a moderator:
Pia mwalimu na Kambona wametokea mbali,pengine wangeendelea kushirikiana,tungekuwa tofauti na sasa?Anyways mkuu nngu007 sitaki kuharibu maudhui ya thread yako hii,so wacha iwe picha ya mwisho.Picha hii ni kwa hisani ya tzaffairs.org
ind_4.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ni vipi baraza la mawaziri la zamani wakristo na waislamu nusu kwa nusu! Lakini baada ya azimio la Arusha kuanzishwa na waislamu kuhusishwa na maasi ya 1964 mfumo kristo umeshika hatamu!
Najua mtasema Waislamu wa zamani walisoma ndo maana wakaula uwaziri ila wa leo ni mbumbumbu!!!!!!
Rejea,
1.KITABU CHA DR. JOHN C. SIVALON, kitabu kilichoandikwa na Dr. John C. Sivalon, alichokiita "KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA
2. Kitabu alichoandika Profesa Hamza Mustafa njozi makamu mkuu wa Islamic Univercity Morogoro kiitwacho Mwembechai Killings and political future in Tanzania au tembelea Mwembechai Killings and the Political Future of Tanzania
 
Mkuu acha kupotosha umma na kutukumbusha machungu Abdallah kasim Hanga pamoja na Othman sharif inasemekana waliuawa mwaka 1969 na Abeid Karumu.Kwa upande Abeid Karume alifariki 7/04/1972 kwa kupingwa na risasi!kwa kifupi Kasim Hanga alianza kufa kabla ya Karume!!!!

I just confuse is the other way round...
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom