Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,834 Reaction score 40,649 Jul 30, 2019 Thread starter #21 Honestty said: Vitu vinavyoelezewa humu..inaonyesha jins gani nimechelewa kuiona dunia! Click to expand... Kwanini mkuu?
Honestty said: Vitu vinavyoelezewa humu..inaonyesha jins gani nimechelewa kuiona dunia! Click to expand... Kwanini mkuu?
The Humble Dreamer JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 8,011 Reaction score 11,447 Jul 30, 2019 #22 troublemaker said: Kwanini mkuu? Click to expand... Hakuna kitu hata kimoja nachokielewa hapo zaidi ya neno "PC"
troublemaker said: Kwanini mkuu? Click to expand... Hakuna kitu hata kimoja nachokielewa hapo zaidi ya neno "PC"
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,834 Reaction score 40,649 Jul 30, 2019 Thread starter #23 Honestty said: Hakuna kitu hata kimoja nachokielewa hapo zaidi ya neno "PC" Click to expand... Utakuwa sio mdau wa gaming na mambo ya tech ndio maana😀😀
Honestty said: Hakuna kitu hata kimoja nachokielewa hapo zaidi ya neno "PC" Click to expand... Utakuwa sio mdau wa gaming na mambo ya tech ndio maana😀😀
waOLDmoshi JF-Expert Member Joined May 20, 2018 Posts 879 Reaction score 1,759 Jul 30, 2019 #24 Mutha007 said: bro nunua padi mtumba ya PS3, narudia PS3 sio PS4, PS3. kisha utumie SCP Toolkit, Chief Mkwawa kaweka maelezo bayana. NB: padi za XBOX 360 zitakutesa kama unatumiaga D-Pad kucheza FIFA/PES sababu vitufe vyake vya direction vimeungana. Click to expand... Unatumia direction key kusheza football? Virungu ni bora zaidi. Ukitumia virungu uwakika wa kufungua na kufanya skills ni mkubwa zaidi.
Mutha007 said: bro nunua padi mtumba ya PS3, narudia PS3 sio PS4, PS3. kisha utumie SCP Toolkit, Chief Mkwawa kaweka maelezo bayana. NB: padi za XBOX 360 zitakutesa kama unatumiaga D-Pad kucheza FIFA/PES sababu vitufe vyake vya direction vimeungana. Click to expand... Unatumia direction key kusheza football? Virungu ni bora zaidi. Ukitumia virungu uwakika wa kufungua na kufanya skills ni mkubwa zaidi.
The Humble Dreamer JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 8,011 Reaction score 11,447 Jul 30, 2019 #25 troublemaker said: Utakuwa sio mdau wa gaming na mambo ya tech ndio maana😀😀 Click to expand... Kabsa..Nimekuja mjini mwaka huu mkuu! Ila ntaendelea kujifunza taratibu..game nalojua sijui wanaita Fifa ila kucheza hatujui!
troublemaker said: Utakuwa sio mdau wa gaming na mambo ya tech ndio maana😀😀 Click to expand... Kabsa..Nimekuja mjini mwaka huu mkuu! Ila ntaendelea kujifunza taratibu..game nalojua sijui wanaita Fifa ila kucheza hatujui!
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,279 Reaction score 44,416 Jul 30, 2019 #26 waOLDmoshi said: Unatumia direction key kusheza football? Virungu ni bora zaidi. Ukitumia virungu uwakika wa kufungua na kufanya skills ni mkubwa zaidi. Click to expand... Mimi pia nazungusha tu, zile direction ukipata mchina kidole kinaweza kutoka sugu kabisa.
waOLDmoshi said: Unatumia direction key kusheza football? Virungu ni bora zaidi. Ukitumia virungu uwakika wa kufungua na kufanya skills ni mkubwa zaidi. Click to expand... Mimi pia nazungusha tu, zile direction ukipata mchina kidole kinaweza kutoka sugu kabisa.
Troublemaker JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,834 Reaction score 40,649 Jul 30, 2019 Thread starter #27 Chief-Mkwawa said: Mimi pia nazungusha tu, zile direction ukipata mchina kidole kinaweza kutoka sugu kabisa. Click to expand... Me virungu hapana aisee. Japo kuzungusha na mambo mengi ndio rahisi.
Chief-Mkwawa said: Mimi pia nazungusha tu, zile direction ukipata mchina kidole kinaweza kutoka sugu kabisa. Click to expand... Me virungu hapana aisee. Japo kuzungusha na mambo mengi ndio rahisi.