Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,649
kumbe hadi simu na simu? me nikajua ni simu yeyote ni swala mtu kuiweka tu nyuma hapo then nimemaliza.Mkuu hicho kifaa ni Gimmick tu, Display kwenye simu ni moja ya kifaa ghali Kama sio kifaa ghali zaidi, unajua mwenyewe display ikiharibika gharama yake inavyokuwa.
Then anakuja mtu anakupa display kubwa zaidi kwa Bei ya cover ya simu,
Zimejaa kibao jumia na Aggrey kariakoo Bei hazifiki Hata 10,000
Mobile Phone Screen Magnifier Display 3D Video Screen Amplifier
Feature:Newest Screen MagnifierBrand new and good quality.Mobile phone screen can be magnified 3 times, picture clear and vivid, dynamic feeling stronger!Suitable for all kinds of mobile phones and all various occasions -- indoor, camping, journey, leisure etc.Use HD amplification optical...www.jumia.co.tz
Kama una simu supported na unataka kuangalia 3D movies Mara Mia ukanunua VR headset, utaangalia movie vipande pande lakini still utaenjoy.
Hio magnifier ni simu yoyote mkuu.kumbe hadi simu na simu? me nikajua ni simu yeyote ni swala mtu kuiweka tu nyuma hapo then nimemaliza.
lkn nikiwa na hichi naenjoy vizuri movie na vitu vingine kama kawaida? au kina changamoto zake?Hio magnifier ni simu yoyote mkuu.
VR ndio simu na simu.
Nilichomaanisha Hapo juu quality itadrop Sana, haitaonekana Kama ukitumia kioo chako Cha simu.lkn nikiwa na hichi naenjoy vizuri movie na vitu vingine kama kawaida? au kina changamoto zake?
ohooo. ngoja niachane nayo.Nilichomaanisha Hapo juu quality itadrop Sana, haitaonekana Kama ukitumia kioo chako Cha simu.
nje ya mada kidogo haya macontroller ya kichina aisee yananitesa sana. yana kufa sana receiver. ya kwanza ghafla tu haikonect kuja kucheki receiver imekufa.Nilichomaanisha Hapo juu quality itadrop Sana, haitaonekana Kama ukitumia kioo chako Cha simu.
Sorry mkuu sikuiona hio comment,Chief-Mkwawa
Nimekuuliza hiyo wireless controller ya ps3 vipi hakuna manuva niitumie kwenye pc. Kimyaa mkuu?
Mkuu mimi mipad ya xbox inanishindaga. Hasa kwenye football. Ukitaka unifunge kirahisi nipe hiyo pad ya xbox.[emoji3]Sorry mkuu sikuiona hio comment,
Ps3 inapiga kazi kwenye PC kwa njia zote wireless kupitia Bluetooth ama wired,
Sema kwa ushauri Bora ununue pad ya Xbox 360 ya waya, maana Xbox 360 ipo pre configured windows unachomeka na kucheza na games nyingi zipo optimized kutumia hii pad hufanyi setting yoyote.
Mpya Xbox 360 ni around 35,000 hivi. Na mtumba pia zipo. Za ps pia Bei humo humo mtumba, ni Bora mtumba sometime kuliko pad ya kichina.
Kwa ps3 ukitaka icheze kwenye PC Kuna software inaitwa scp toolkit, ps3 pad yako itatambulika Kama pad ya Xbox. Sema sio reliable kivile ndio maana nakushauri Xbox, mfano kwangu imedisable Bluetooth, siwezi connect kitu chochote na na PC kupitia Bluetooth Hadi nizitoe drivers, pia unaweza Zima PC unawasha pad haitambuliki inabidi uanze upya Tena kueka drivers.
Usinunue za kichina no name mkuu, Kama unataka dedicate gaming pad ya PC brand nzuri ni za Logitech, zinapatikana Bei hizo hizo.Mkuu mimi mipad ya xbox inanishindaga. Hasa kwenye football. Ukitaka unifunge kirahisi nipe hiyo pad ya xbox.[emoji3]
Nimeiona hii alliexpress 45k tu. Vipi bongo siwezi pata kama hii
View attachment 1167016
Yaa na hilo hasa ndio huwa tatizo langu. Yaani hizo direction key zimeungana unakuta hazina tofauti na analog.bro nunua padi mtumba ya PS3, narudia PS3 sio PS4, PS3.
kisha utumie SCP Toolkit, Chief Mkwawa kaweka maelezo bayana.
NB: padi za XBOX 360 zitakutesa kama unatumiaga D-Pad kucheza FIFA/PES sababu vitufe vyake vya direction vimeungana.
Mkuu kuna jamaa yangu anayo gamesir t3 iko fresh tu na ina usb receiver yake kabisa niliijaribu iko poa kidogo mfumo wake kama wa pad za ps4 ila nimeona hii iko bomba zaid. Naikimbia ps4 controller ni nzuri lakini bei yake haiendani na serikali ya viwanda😀Usinunue za kichina no name mkuu, Kama unataka dedicate gaming pad ya PC brand nzuri ni za Logitech, zinapatikana Bei hizo hizo.
Halafu hizo gamesir ni clone za Xbox zikija muundo ni ule ule.
Ps3 Mimi nilinunua 30K, uzuri wa ps3 hutumii battery za kununua unaichaji tu, na pia wireless yake hazitumii extra hardware Kama PC tayari ina Bluetooth.Mkuu kuna jamaa yangu anayo gamesir t3 iko fresh tu na ina usb receiver yake kabisa niliijaribu iko poa kidogo mfumo wake kama wa pad za ps4 ila nimeona hii iko bomba zaid. Naikimbia ps4 controller ni nzuri lakini bei yake haiendani na serikali ya viwanda😀
Poa ngoja tu itabidi nijipinde nikazitafute hizi gamesir japo hawa wahindi wa kariakoo wana bei sana. Halafu huwa wanatamka huku wanaendelea na mambo yao.Ps3 Mimi nilinunua 30K, uzuri wa ps3 hutumii battery za kununua unaichaji tu, na pia wireless yake hazitumii extra hardware Kama PC tayari ina Bluetooth.
Kuna machimbo ya gamepad za kichina Aggrey, sema kumuelekeza mtu ngumu sana,Poa ngoja tu itabidi nijipinde nikazitafute hizi gamesir japo hawa wahindi wa kariakoo wana bei sana. Halafu huwa wanatamka huku wanaendelea na mambo yao.
Kama una namba zao nipe mkuu. Au nitakutafta pm unielekeze vyema.Kuna machimbo ya gamepad za kichina Aggrey, sema kumuelekeza mtu ngumu sana,
Jaribu kwenda City Mall geti la kutokea, ukiingia Kuna supermarket mkono wa kulia, nenda mbele kidogo utaona kiduka kidogo ulizia.