Phone book

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,776
Reaction score
1,099
katika majina yaliyomo kwenye simu zenu nyie kina kaka.

Ni kundi gani la watu linaongoza %ge wise.

1. Family Members?
2. Work mates?
3. Normal friends?
4. Business partner?
4. Women to date.?/ Hata kina Eliza wa zero pub wana fall under thi category.
 

true, hata fb umeandika uko single.
 


None of the above....
 
Ngoja niyaarrange kwa mfumo huo hapo kisha nitarejea.
 
Ongeza
Class mates?
 
Kwangu number 4/5 inaongoza hasa phone number za ma bar maids
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…