love peace
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 130
- 37
hakupendi.simple!!!!
......aaahhh bana, imagine mshakaa miaka 10+ ya ndoa...ila kila ukirudi na good news umepandishwa cheo yeye " homa" inampanda!
Otherwise, baada ya kuzoea hali na akiona matunda yake kimaslahi, anarudia hali yake ya kawaida...(hapo ishapita mwezi+)....
Yaani, ukipata safari ya nje ya nchi yeye ndio na BP juu.... Anatamani unyimwe Viza!!!
hapa umenena kiutu uzima kabisaMwisho wa ubaya ni aibu.
Wanaume wengi unakuta wanapata wasiwasi wenza wao wakifanulikiwa kwa kuogopa revenge. Wanasema pata hela mkeo akijue tabia yako. Unakuta wakati mwanaume ana hela masimango kwa mke na nduguze hayapungui. Sasa anajionea huyu mama akipata upenyo si atanilipishia? Kama hatishiki tena kodi ya nyumba si nae ataanza kunirudia usiku wa manane?
Sababu nyingine ni pale ambapo mapenzi yanaendeshwa kwa nguvu ya fedha. Kuna mwenza anamwaga hela tu na kusahau misingi ya uhusiano kama vile sex, emotional support na hata kujaliana na kuonueshana upendo. Sasa kama mwenza ilibidi atoe huduma hizo kwa sababu ya utegemezi, akifanikiwa si utamsikia bombani?
Interestingly,
....majibu mengi yanafanana wajameni, mmejigundua?
Wengi wenu mna fikra kwamba mafanikio huenda yakambadilisha mtu.
Hii ni dhana!
Nini madhara ya dhana 'mbaya' katika mahusiano?
..... Spouses inabidi kujifunza kufurahia furaha ya wakati uliopo badala ya kujipa wahka na dhana mbaya ya kesho itakuwaje!
Mbu hiyo 'dhana' watu wameeiishi na bado wanaendelea kuiishi kupitia ndugu, jamaa na marafiki zao kwahiyo lazima wawepo wanaitegemea kutokea hata kwa wenza wao.
Wale wanaoishi kwa kuangalia uchanya wa kila jambo ndio pekee wanaoweza kufurahia kwanza na kuhuzunika baadae ikiwa mambo yataenda vibaya.