Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,906
- 146,051
Huyu jamaa anayeponda falsafa huku yeye mwenyewe anaitumia hata kwenye kuiponda hajui anachoandika.Sina uhakika unaelewa ulichoandika,
Philosophy hata zen Buddhism ni philosophy ndio maana kun miongozo yake.
Kama unaongelea branch ya logical philosophy inayo husika na rational reasoning ambayo inatumika pia na wanayasansi.
Au unaongelea philosophy za Jiddu Krishnamurti aliyeandika vitabu kama free from the known.
Kila kila kitu ni philosophy
Halafu naona hayo mambo ya esoteric mumbo jumbo ndiyo kama anayajua leo.
Mimi ninesoma Buddhist philosophy na meditation tangu last century nimekutana nayo hayo mambo anayoyasema miaka ya 1990s.
Buddhists wamezama sana katika hayo mambo ya emptying your mind and all kinds of esoteric philosophies.
Ndiyo maana nikimuona anajichanganya hapa, kuponda falsafa, wakati anatumia falsafa hata kuponda falsafa, namuona yuko at least 25 years nyuma yangu.