Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,055
- 6,777
Vipi zile meli za haramia la CCM na pembe za ndovu zimeshataifishwa na serikali ya sultan kikwete?vipi lile eneo alilojimegea mabwepande na mzazi mwenzake kwa kumtumia yule diwani wa chadema amerudisha?
mkuu acha ushabiki kumbuka huyu mzee mangula alikiweza na kukitumikia kwa uwezo mkubwa ccm ni wakati wa uongozi wake ktk uchaguzi wa 2005 JK alishinda kwa asilimia 80 je huoni ni mafanikio makubwa mbona slaa 2010 alishindwa kubuni mipango na usimamizi wa ushindi???? tafakari
tatzizo hatupendi kuambiwa ukweli nilimpenda sana slaa but now nimerui kundini mtu aliyejawa na uchafu atapataje baraka za kuiongoza TANZANIA?
Kwa hiyo wewe ndiyo umesajili kisomi? Kweli nyani haoni kundule.
Umeingia kundini vip, trh 25 ndio ukawa Mmber tutajuaje upuuzi na ushuzi unaiweka hapa kama kweli, hujui ulitendalo au umeingia humu kuchafuabhali ya hewa, hata ukijampa hatusikii, mangula kafanya nini tumkumbuke nacho? Wizi wa epa? Meremeta na deep green ndiye alikuwa architect na sikusikia hata sikunmoja akikemea
Mpaka sasa hivi nani anaongoza hapo juu acheni longo longo kura 4 kwa 42 kwi! kwi! kwi! teh! teh!waambie hao wavivu wa kufikiri
Jamani naona mnafanya dharau sijuikwa sababu muda wote mkonktk pc, you dont think out of box, slaa sio wa kaulinganishanna na mangula, mangula kashika nafasi zote,akiwa ktb mkuu ndio epa ziliposhamiri alifanyanini? Chini ya slaa ndio serikali zimevunjwa kwa hoja zake mara ngapi akiwa nje ya system je kama angekuwa ndani ingekuwa kivumbi, acheni mizaha jamani, kuleta polls ambazo hazilingani kabisa
Mkuu Molemo hichi ni kirusi ngoja kespersky Ben Saanane aje kukitoaKwa hiyo wewe ndiyo umesajili kisomi? Kweli nyani haoni kundule.
mkuu acha ushabiki kumbuka huyu mzee mangula alikiweza na kukitumikia kwa uwezo mkubwa ccm ni wakati wa uongozi wake ktk uchaguzi wa 2005 JK alishinda kwa asilimia 80 je huoni ni mafanikio makubwa mbona slaa 2010 alishindwa kubuni mipango na usimamizi wa ushindi???? tafakari
Watanzania kweli WABISHI! the opinion poll speaks itself, lakini bado MIJITU inabishana!
Kama unaelezea mafanikio ya kuchakachua uchaguzi na matokeo upo sawa kabisa mwanawani mangula yupo juu!
Vip kura hapo juu naona muuza nyanya chaliNawashangaa sana hawa Pro-Chadema JF wao kila mtu wanalinganisha na Dr Slaa, siasa siyo mchezo wa tenesi au draft kuna namba moja.
Nyie endeleni kumchuuza Dr Slaa mwisho wa siku akija kwa wananchi wanampiga nchini na kuanza kulalamika kaibiwa kura na usalama wa taifa.
Dr Slaa hawezi kuwa rais wa Tanzania hata siku moja ataendelea kuwa rais kivuli tu.
Vip kura hapo juu naona muuza nyanya chali
japo post si yangu naomba nikwambie tuache ushabiki wa kiroho huwezi kumlinganisha mangula na slaa kwanza mangula aliongoza CCM kama taasisi na wanachama wengi huwez kumlinganisha na slaa anaeongoza kampuni jadili kisomi mkuu
Ha haa haaa!! Unajitekenya kisha unacheka mwenyewe, wewe peke yako umepiga kura mara 10 mambo ya Multiple ID's.