KING KINSO
Member
- Sep 13, 2013
- 7
- 0
WEVI,MEVI,MIJIZI,MACHOLI,MIJAMBAZI MBUGANI KWENYE MATWIGA,MATEMBO MPK MISAADA NA BADO HAISHIBI WALA HAINA HURUMA da! kazi kweli watanzania tusonge mbele
Haya manyang'au ya CCM ni wevi, walafi na hayana hata uso wa aibu na huruma...yanakula bila kuogopa au kuchoka na yajiandae, yatakula sana hadi udongo siku ya kufa...watoto wa jamii ya tanzania wanaoteswa na njaa na umaskini, watcheza na kushangilia juu ya makaburi Yao...CCM ni wafu wanaotembea.
1.2$mil kitu gani bana,hao wamekosa kazi ya kufanya
Jitahidi kuficha upumbavu wako kijanaLuhanjo hakuwahi kuwa CCM ni mtumishi wa serikali.Sio wote waliopo serikalini ni CCM
This is the saddest part in the whole saga...no wonder the Mingois tunawaona humu. Tumejenga taifa la wezi, serikali imejaa wezi, bunge limejaa wezi na mahakama imejaa wezi na yote hii ni kwa sababu chama cha wezi ndicho chama tawala. Kwa kuwa tuliwaruhusu wazazi wezi kujaza watoto wao wezi serikalini, sasa yatubidi tuamue kutoviruhusu na vijukuuu vyao wezi kuja kukamata madaraka...kazi tunayo 2015.huyu mzee amejaza sana ndugu zake serkalini
Luhanjo kuwa karibu na JK katika utumishi wa serikali haimaanishi kuwa Luhanjo ni malaika,Hata Yuda alimgeuka yesu akiwa moja ya wanafunzi wake watiifu na kumuuza.CCM hatuna tabia ya kuoneana aibu wala kufumbiwa macho madudu.Hayo mambo yako huko kwenu mnakoburuzwa kama misukule.CCM ni maslahi ya chama na mtu baadae kwani hata huyo JK akimaliza muhula wake atakuja mwengine kuongoza chama na serikali.CCM hakuna mwenye haki miliki na chama kama ilivyokuwa Chadema chenye sura ya ukanda na wenye kukimiliki binafsi.
Luhanjo hakuwahi kuwa CCM ni mtumishi wa serikali.Sio wote waliopo serikalini ni CCM
The link to the president no problem for embassy
There is nothing negative in former top people from environmental authorities managing organisations or being on the boards and doing volunteer work, Inger Naess, Counsellor at the Norwegian Embassy in Tanzania, told Aftenposten in January.
She thought it was quite unproblematic that former senior officials from the government, Tanzanian environmental authorities are controlling WCST, and confirmed that the Norwegian embassy knew this right from the start. Naess said that Gamassa has been one of several main contacts for the embassy.
The pension age here is 60, and it is good and natural that resourceful people are contributing. If you have previously worked in the ministry that does not disqualify you from managing an NGO that receives Norwegian aid money, Naess said.
As the suspicion of financial irregularities has been strengthened in recent months, Aftenposten asked again whether the embassy believes the link to the government apparatus is problematic. The embassy had nothing to add.
Luhanjo hakuwahi kuwa CCM ni mtumishi wa serikali.Sio wote waliopo serikalini ni CCM