Philemon Luhanjo ni Mwizi-Norway’s newspaper

Luhanjo hakuwahi kuwa CCM ni mtumishi wa serikali.Sio wote waliopo serikalini ni CCM

Du, Mkuu hii kali kuliko zote, umetoa mpya, sasa naanza kuamini kama kweli mnavuta buku saba.
 

Mkuu je hao unaodiriki kuwaihtaa mbwa ni pmoja na wewe mwenyewe nini? Au uliisha post thread ya kutuhumu hao wazungu. Mkuu usilete hadithi ya nyani kuchekana ngoko.
 

Upumbavu wa mteule wa JK ni upumbavu wa JK mwenyewe. Ndio maana JK kama rais hateui watu wadogo. Uteuzi wake ni wa watu wenye hadhi ya U-CEO. Maana yake mteule wa rais anakuwa na privillages zote za kumfanya asishawishike kumwangusha rais. Kwakua anguko la mteule ni anguko la aliyemteua. Ndio maana Wateule wa Rais hawakui kodi ya nyumba, hawajui ada za watoto wao, hawajui bill ya umeme na maji, hawasumbuliwi Airports, hawajui joto la dsm na mahali pengine na kubwa zaidi mishahara yao ni KUFURU. Huwezi kuwa na haki zote hizo halafu ukawa mlafi rais asijue.

Tukubali tu kuwa Rais ni Mwizi. Anaongoza chama cha wezi kinacchotekeleza sera za WIZI.

ZeMarcopolo, Pasco Ritz Simiyu Yetu, Ben Saanane, Nape Nnauye Nyani Ngabu, Somoche
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana hata kwenye issue za kitaifa mnaongozwa na hii "slogan" kumbe sio kwa bahati mbaya! BTW, back to the topic, huyo mzee wenu laana za wananchi zimeanza kumtafuna.

hata katiba mpya chama kwanza teh teh!
 

Hivi ndo huyu Luhanjo aliekuwa na mamlaka makubwa kuliko waziri mkuu Pinda! kwenye issue ya Jailo!
 
Daah, ccm wanapiga hela kinoma, ila fresh wataalam wa sheria waweke record ili cku wanabanduka 2nawashitaki na kuwafiric na kuhamishia makazi yao huko ukerewe au bumbuli wakae kweny nyumba za nyac, ugali tembel na choo cha kulenga coz bata wanalokula now ni zaidi ya kufuru
 
Ni dhahiri Kikwete si mtu safi,how comes allies wake wote ni wapigaji(watu wa scandal za kuhujumu nchi)!?
 

Huoni hata aibu kuitetea ccm kwa jambo lililo wazo kama hili? Mwisho wenu unakaribia endeleeni tu kuiba na kulindana lakini hamtatawala milele. Mnatia aibu sana!
 
Nasikia kapewa cheo fulani huko SUA si ndo atafilisi zaidi ukizingatia wakubwa wa kale kachuo wote ni wanyalu wenzake?
 
Kaka hii NGO haikuwa chini wa Katibu Mkuu kiongozi. Mambo ya pembeni hayo nje ya ofisi

 
Last edited by a moderator:
huwezi..hiyo ni sera ya chama cha masogange kuiba na kulindana na ukifanya hivyo kesho niko lumumba kuchukua kadi

Mkuu kumbe naww umegundua kua ssm sio political party tuu pia ni chama cha akina masogange na wazee wa tembo tehtehteh
 



Sijui kama unakaa nchini au laa maana usingeandika huu uharo, waliogundulika ni mafisadi nani ameshahukumiwa hadi sasa ila usinitajie dagaa nataka wale Papa. Sera yenu mtu akishajulikana fisadi anahamishwa au kupewa cheo kwa kazi nzuri.
 
Halafu USA na Obama wanasema "Tanzania ni mfano wa kuigwa...."
 
Sure! Ila tuko tayari?

khs utayari, hilo cna shaka kwakuwa hadi sasa wanachi wakiulizwa maoni yao juu ya serikali ya sasa na jinsi wanavyokuwa naimani nayo........ majibu yake najua unayo, pia Je watafanya nini ??

Khs Viongozi, kumbuka wapo viongozi wa kisiasa(kuchaguliwa na kuteuliwa) na wapo viongoz watendaji wa kuajiriwa.
naami raia wapo tayari na mabadiliko.:A S 39:😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…