PhD za Mwenge University zinatambulika wapi?

PhD za Mwenge University zinatambulika wapi?

Nimeona Mwenge University wanatoa PhD Sasa Sina uhakika kama hizo PhD zinatambulika hata huko Halmashauri. Mwenye kujua tafadhali tukaokote PhD sisi waumini wa Parokia Mtakatifu Kizito
Nikuulize tu, PhD kisheria na taratibu zinatambuliwa na mamlaka za elimu au hizo taasisi ulizotolea mfano hapo?
 
Kama wanatoa PhD inamaanisha TCU wameona wana vigezo vya kufanya hivyo, hayo mengine tuachane nayo. Karibu MWECAU 😂😂
 
Back
Top Bottom