Mimi nilishawaona kamantakataka, kama waliamua kuwa kuja case to answer, then we are done. Hakuna haki oale! Wacha wapige hela za per diem wajenge mahekalu, siyo kujenga haki.Ukiitafakari kesi inayoendelea kuhusu TAL, ukisikiliza hizi kauli, na ukiwaangalia wale majaji na kundi lao, unashindwa kuelewa kabisa.
Kama huyu jamaa ana ndugu au watoto sijui watakuwa kwenye hali gani? Ni aibu hata kama ameongea ukweliKuna mtu kweli hapa!!!
Na watoto wanasema tunaye baba?
Na mke anasema ninaye mume?
Hakuna ukweli..... Hizo taasisi kikatiba si za chama tawala.Kama huyu jamaa ana ndugu au watoto sijui watakuwa kwenye hali gani? Ni aibu hata kama ameongea ukweli
Tusome fomu yao aya ya pili utaona kabisa wameandika kwa makusudi.Ambacho hamtaki kukubali ni kwamba huyo jamaa kasema ukweli.
Kwani si imesemwa mara nyingi tu huyu anarudia? Kuna SACP Engelbert Kiondo akiwa na sare za jeshi alishika ilani ya CCM hadharani na kusema jeshi linafuata chama.
Kuna askari akiwa na sare pia (nimesahau jina na sura ila anaweza kua Kiondo) akatoa mfano huu "Kama A ni sawa na B na B ni sawa na C basi A ni sawa na C"
Aliongea hivi akimaanisha huwezi tenganisha jeshi, serikali na chama.
Sielewi ni kivipi watu bado mnashtuka, alichosema ndiyo ipo hivyo.
Siyo ukweli, ni kuvunja katiba na sheria. Ni ushenzi. Tunachokubali ni kuwa wanavunja sheriaAmbacho hamtaki kukubali ni kwamba huyo jamaa kasema ukweli.
Kwani si imesemwa mara nyingi tu huyu anarudia? Kuna SACP Engelbert Kiondo akiwa na sare za jeshi alishika ilani ya CCM hadharani na kusema jeshi linafuata chama.
Kuna askari akiwa na sare pia (nimesahau jina na sura ila anaweza kua Kiondo) akatoa mfano huu "Kama A ni sawa na B na B ni sawa na C basi A ni sawa na C"
Aliongea hivi akimaanisha huwezi tenganisha jeshi, serikali na chama.
Sielewi ni kivipi watu bado mnashtuka, alichosema ndiyo ipo hivyo.
Hii ni utapeli! Kuxuga watu kipindi kampeniTusome fomu yao aya ya pili utaona kabisa wameandika kwa makusudi.