kimweri Jr
Senior Member
- Jun 9, 2012
- 131
- 42
Wanajamvi kwa wale wenye taarifa za kutosha naomba kufahamishwa ile phd ya heshima aliyopangiwa kupewa Rais obama alipewa? na kama hakupewa ni kwann? Kwa mwenye taarifa wadau tafadhali.
Wanajamvi kwa wale wenye taarifa za kutosha naomba kufahamishwa ile phd ya heshima aliyopangiwa kupewa Rais obama alipewa? na kama hakupewa ni kwann? Kwa mwenye taarifa wadau tafadhali.
ana Dr of Juror mwaijua?
Sasa alisemaje watamtunuku wakati walikuwa hawajafanya mawasiliano? Kwanini hakusubiri mpaka wawe na uhakika? Nchi ya Tanzania ni maneno maneno maneno maneno!Kushindwa kumpa phd huyo Rais Wa USA. Ni udhaifu Wa MKUU Wa chuo kushindwa kufanya maandalizi ya kutosha
Isingekuwa so easy Kwa vile anatembelea Tanzania then mnakurupuka!
I will soon present that little risala
Kaka umenikuna na comment yako. ni kweli kabisa ndg yanguyaani niwe na hold phd toka havard university then nikubali phd ya chuo huria cha tanzania? ni sawa umekula biliani then unashushia na kande.
Unachotafuta utakipata
Unachotafuta utakipata
Na angeipokea angeichanolia mbali kabla ya kuingia kwenye ndege,PHD YA OPEN UNIVERSITY bora hata ya INDIA