PhD ya Musukuma yazua gumzo, Chuo kilichomtunuku hakitambuliki

Pengine huyu Msukuma, hatimaye amejionyesha kuupenda usomi baada ya kuukandia hadharani kwa miaka mingi.

Sasa ametafuta shortcut, udaktari wa heshima.

Huo siyo usomi, short and simple.

Msukuma hajui, kuwa hajui, na kutokujua kwake kumemletea ujinga zaidi kama vile watoto wa chekechea walivyokuwa wana vaa majoho hadi kupelekea utaratibu huo kupigwa marufuku.

Walio karibu na Msukuma wamwambie, hajachelewa, bado kijana.
Akakinoe kichwa kwa elimu ya awali na juu sekondari, ahenyee shahada ya kwanza na ya uzamili na baadaye anoe kichwa na kuwaridhisha walio katika uzamivu, kuwa anastahili uzamivu.

Kwa majoho aliyovaa kama mbeba maboga, hajamridhisha msomi yeyote ustahili wake.
 
Kumbe elimu ina umuhimu hivi, yaani msukuma pamoja na mang'ombe yote hayo bado unahangaika na kuvaa gauni ya graduation na kofia- ha ha ha

Kweli Pesa bila elimu ni bure kabisa, wacha tuwasomeshe watoto wetu hata kwa ada za mamillioni.
 
Bora mara Bilioni hii PhD wangempa kijana mtanashati mwenye roho ya kipekee Malisa Godlisten maana anamchango mkubwa mno kwenye jamii hasa kwa wahitaji.
 
Msukuma hajatunikiwa PhD mbali ni udaktari wa heshima, Malisa juzi kafafanua vizuri hivi ni vitu viwili tofauti kabisa
Hakuna kitu kama hicho, heshima ya usomi inachakachuliwa hapo.
Hakuna shortcut kutambuliwa kuwa msomi.
Msukuma na ninyi wengi, hamjui kuwa hamjui.
 
Hakuna kitu kama hicho, heshima ya usomi inachakachuliwa hapo.
Hakuna shortcut kutambuliwa kuwa msomi.
Msukuma na ninyi wengi, hamjui kuwa hamjui.
Usitumie nguvu, soma historia Amani Karume ni daktari wa heshima lakini ni F6, kuna watu hawapendi sifa mwl alitunikiwa mara kibao lakini hakupenda hata Mkapa wote hawakuwahi kuitwa Dr, PhD huwa wanaandika mfano Dr Mapapai Mamba(PhD) lakini Msukuma ataishia kuandika Dr Msukuma pekee
 
Pengine huyu Msukuma, hatimaye amejionyesha kuupenda usomi baada ya kuukandia hadharani kwa miaka mingi.

Sasa ametafuta shortcut, udaktari wa heshima.

Huo siyo usomi, short and simple.

Msukuma hajui, kuwa hajui, na kutokujua kwake kumemletea ujinga zaidi kama vile watoto wa chekechea walivyokuwa wana vaa majoho hadi kupelekea utaratibu huo kupigwa marufuku.

Walio karibu na Msukuma wamwambie, hajachelewa, bado kijana.
Akakinoe kichwa kwa elimu ya awali na juu sekondari, ahenyee shahada ya kwanza na ya uzamili na baadaye anoe kichwa na kuwaridhisha walio katika uzamivu, kuwa anastahili uzamivu.

Kwa majoho aliyovaa kama mbeba maboga, hajamridhisha msomi yeyote ustahili wake.
Kwa majoho aliyovaa kama mbeba maboga, hajamridhisha msomi yeyote ustahili wake
 
Back
Top Bottom