PhD kwa Mwl Christopher Mwakasege

Anaepropose mwakasege apewe PhD hata diploma hana hii ni Tanzania zaidi ya uijuavyo
Una uhakika hana hata diploma.. kwa taarifa yako alikuwa mchumi wa serikali.
 
Okey
 
Namkubali sana sana sana huyu mchungaji, kwa mda mrefu nimekuwa nikitafuta cd za mafundisho yake sipati, yeyote anayeweza nisaidia nikapata cd hizo. Shukrani sana.
Kama upo Dar mkuu waweza kwenda Luther house..(Azania KKKT) opposite na NBC bank Posta ya zamani. wanazo ofisi pale utapata vitabu na masomo yote.
 
Kwani yeye anatumikia wa Lutheri?
La hasha.....lakini kwa kuwa mlutheri nilitegemea walutheri 'tuwe' wa mwanzo zaidi kutambua kazi yake (kama bado 'hatujafanya' hivyo kwa namna nyingine).
 
Sina hakika sana... ila nacho weza sema huduma yake imegusa watu wengi...so atakayeona inafaaaa amtukuze Mungu kupitia Mwl huyu.
 
Kama upo Dar mkuu waweza kwenda Luther house..(Azania KKKT) opposite na NBC bank Posta ya zamani. wanazo ofisi pale utapata vitabu na masomo yote.
Mkuu mm nipo mkoani hakuna namna yeyote kama kutumiwa kwa basi na njia nyingine zinazofanana na hizo?
 
Kama una ndugu au rafiki Dar mwambie akufanyie mpango akutumie kwa basi
 
Sawa mkuu ila ningependa kama ningeweza wasiliana na wahudumu wa kanisa nione kama kuna namna wanaweza nisaidia.
 
Mimi nilieko mbeya ni radio gani inarusha mahubiri ni siku gani na SAA ngapi
 
Mkuu mm nipo mkoani hakuna namna yeyote kama kutumiwa kwa basi na njia nyingine zinazofanana na hizo?
Mikoani hawana ofisi.. labda mpaka wawe na semina kupitia wakati wa semina unaweza pata. Masomo na vitabu vyake.
Ila kama una mtu Arusha au Dar muombe akununulie kisha akutumie.
 
Noted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…