and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,110
Ni ukweli usiopingika kuwa PhD (ya kusomea) ndio shahada ya juu kabisa Chuo Kikuu kinaweza kutoa hapa duniani.
Lakini wanazuoni wamehusisha shahada hii na mafanikio ya kifedha.
Dhahiri pia ni kwamba PhD kwa bongo hailipi kutokana na waliopata kusaka fursa za kitaa ikiwemo kuwa Mc wa Kitchen party shughuli ambazo hata Asha Ngedere ambae kaishia darasa la 2 anaifanya kwa ufanisi pia. Sio level za PhD kuwa MC uswazi bali inategemewa PhD kufanya za kutatua matatizo yanayoikabili dunia na si kukimbizana na Kitchen parties kitaa.