Petroli kutoka TZS 2,009/= mpaka TZS 2,300/= (Dar es Salaam)

Halafu hili suala la kupanda kwa bei ya mafuta,ukitaka kujua hawa jamaa wanatuchezea Watanzania wametupiga mchanga wa macho wakati issue ya Mwangosi iko motoo. Kiasi kwamba sijasikia midahalo ya kutosha juu ya suala la bei hii mpya,wabongo tuko busy na mabomu ya machozi huku wajanja wanapiga deal Kama kawaida. Daaaah! Tanzania inatisha.
 
Back
Top Bottom