Petroli kutoka TZS 2,009/= mpaka TZS 2,300/= (Dar es Salaam) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Petroli kutoka TZS 2,009/= mpaka TZS 2,300/= (Dar es Salaam)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kifaranga, Sep 5, 2012.

 1. Kifaranga

  Kifaranga Senior Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hivi wanajamii mmeiona hiyo bei kikomo ya Petroli kuanzia leo?? kutoka 2,009/= mpaka 2,300/=, imepanda kwa asilimia 15% ........... tutegemee gharama ya maisha kupanda kwa asilimia 15% .............. mpo hapo???

  Nawasilisha tu
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Jana kuna member alianzisha uzi kuwz bei ya petroli juu, ni muda si mrefu itafika 2,500 na bado. Tutapaki magari sasa kwa mtindo huu maana hiyo ni Dar how about Kigoma, Bukoba n.k????
   
 3. C

  CAY JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hili linahusu sana!Naona EWURA inafanya kazi kweli au ndiyo imewekwa mfukoni na wafanyabiashara?
   
 4. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Hizi ni mbinu zinazotumiwa na serikali nyingi duniani kote, wanapandisha bei ya vitu kimya kimya bila kuwataarifu!! Lakini cha ajabu, bado dhuluma haiwezi kushinda haki. Acha waendelee kujipatia vya kunyonga, yana mwisho!!
   
 5. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Naona huku mbagala daladala zimeamua kupaki maana usafiri wa shida maradufu
   
 6. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,109
  Likes Received: 1,496
  Trophy Points: 280
  kuna mchezo ulikuwa unafanyika kwani mafuta yaliadimika ghafla(yalifichwa) huku kukiwa na tetesi bei zitapanda hii ndio awamu ya Jk maisha bora kwa kila mtanzania
   
 7. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  USD$1:1,578/=Tsh hapa vipi?
   
 8. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kuna mchezo unachezwa hapa kama ule uliokuwa unachezwa TANESCO!!! Unfortunately EWURA haiko chini ya waziri Prof. MUHONGO bali iko chini ya wizara ya MAJI!!!
   
 9. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,341
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Regulatory autholities zimekuwa kikwazo kila sehemu. Hapa wa kulaumiwa ni EWULA
   
 10. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,656
  Trophy Points: 280
  [(2300 – 2009) ÷ 2009 ] × 100 = 14.5%

  this is too much for sure
   
 11. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Bulesi,are you sure?...naomba uthibitishe,,,hili ni geni kwangu.
   
 12. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Utakuwa ulifundishwa hesabu na mwalimu wa comedy!
   
 13. W

  Wajad JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,129
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Na mishahara pia si imeongezwa kwa asilimia kama hizo? Kwa hiyo ngoma droo, yani bado tumo ndani ya sera ya maisha bora kwa kila mtz.
   
 14. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,228
  Likes Received: 13,680
  Trophy Points: 280
  Ninakuchukia Jk
   
 15. Kifaranga

  Kifaranga Senior Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ni [(2,300 - 2,009) / 2,009] = 14.48% a.k.a 15%
   
 16. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,656
  Trophy Points: 280
  haya wewe unayejua hesabu sahihisha basi
   
 17. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,656
  Trophy Points: 280
  my mistake mkuu
   
 18. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Mimi nilidhani umeamua kutuchekesha!
   
 19. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,125
  Likes Received: 1,726
  Trophy Points: 280
   
 20. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,656
  Trophy Points: 280
  hahahah hapana mkuu, nilichoandika na kukifanya sio kilichokuwa kichwani..wewe ndio umenishtua
   
Loading...