Huwa napata safari mbalimbali mikoani kwa ajili ya shughuli zangu za kikazi, kitu ambacho nimekuja kugundua ni kuwa Petrol stations nyingi muda wa asubuhi [hasa kabla ya saa 1] na usiku zile pump hazitoi risiti.
Kama ambavyo wameelekezwa na mamlaka husika. Baada ya masaa hayo niliyoyataja utakuta pump zinatoa risiti. Hii ni hujuma kwa nchi,tunaomba wahusika walitupie macho hili suala.