Petrol station manager!

Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,547
2,000
Poleen sana na Majukum wadau.., Naomba wazoef mnfahamshe kdogo; mie nna degree yangu kuna coy 1 ya mafuta wameniita baada ya interview 2kaongee kuhusu Maslah so naomba nijue mishahara yao inakuaje na je kama kuna benefit yoyote ambayo hua inapatkana zaid ya salary? Natangulza shukran!
 
Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,124

Heading inasema petrol station MANAGER na unasema una degree so how come umepata post ya umanager bila experience? Ok lets say una uzoefu sasa inakuwaje unashindwa kujua range ya salary kwa managers?.....
 
Ok, kwa ufupi n kwamba experience nlyonayo c ktk field hyo but coz sifa walzohtaj nlkua nazo na interview nlpga fresh so nadhan hcho ndo klchopelekea waniite.., then nna degree plus other certificates ambazo zlkua kama added advantage!
 
Ningependa pia wewe kama msomi ungeandika kwa kutumia lugha sahihi,maneno kama 'hyo', 'nlpga' ,hcho', 'nna', 'c ktk' yanakushusha thamani kwa sababu wanaopita humu Jamii Forums ni wengi ikiwemo hata watakao kuajiri.
 
Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,474
2,000
Mishahara kwenye sekta binafsi kama kampuni ni ya kueleweka ni wewe mwenyewe kutaja kiwango unachotaka na wewe ni competent mtakaa mezani na kuangalia kiwango watakachokupa maana position moja kwa mfano inaweza kuwa ina range between 950,000 mpaka 1,500,000, sasa kama uta-negotiate within their capacity watakupa mshahara though waajiri wengi hupenda kumpa mtu ile minimum
 
Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,547
2,000
Ningependa pia wewe kama msomi ungeandika kwa kutumia lugha sahihi,maneno kama 'hyo', 'nlpga' ,hcho', 'nna', 'c ktk' yanakushusha thamani kwa sababu wanaopita humu Jamii Forums ni wengi ikiwemo hata watakao kuajiri.

Hv n k2 gan hapo ambacho hujakielewa? Coz naona nmejaribu kukuelewesha japo kwa ufup ili uweze kutoa ushaur wako kutokana na topic ilyopo bado unatoka nje ya mada, kama huna ujuz wowote ktk hlo bac n bora ukae kmya 2 ndugu coz skuomba kaz Bakita!!
 
Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,547
2,000
Mishahara kwenye sekta binafsi kama kampuni ni ya kueleweka ni wewe mwenyewe kutaja kiwango unachotaka na wewe ni competent mtakaa mezani na kuangalia kiwango watakachokupa maana position moja kwa mfano inaweza kuwa ina range between 950,000 mpaka 1,500,000, sasa kama uta-negotiate within their capacity watakupa mshahara though waajiri wengi hupenda kumpa mtu ile minimum

...,Nashkuru sana kwa ushaur wako ndugu!
 
Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,948
2,000
Hv n k2 gan hapo ambacho hujakielewa? Coz naona nmejaribu kukuelewesha japo kwa ufup ili uweze kutoa ushaur wako kutokana na topic ilyopo bado unatoka nje ya mada, kama huna ujuz wowote ktk hlo bac n bora ukae kmya 2 ndugu coz skuomba kaz Bakita!!

Noo, fuata maelekezo bwana mdogo, waungwana huwa unaangalia ulipoelekezwa na kurekebisha. Sasa uwe manager katika demeanour hiyo kweli? Jifunze kuandika kwa ufasaha, humu kuna watu wazima na wenye staha pia is good network to different calibres..anyway kila la kheri
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
9,984
2,000
Kama manager ndo anaandika hivi.naipa pole hiyo kampuni.
 
TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
10,331
2,000
Hv n k2 gan hapo ambacho hujakielewa? Coz naona nmejaribu kukuelewesha japo kwa ufup ili uweze kutoa ushaur wako kutokana na topic ilyopo bado unatoka nje ya mada, kama huna ujuz wowote ktk hlo bac n bora ukae kmya 2 ndugu coz skuomba kaz Bakita!!

Mkuu mazoea hujenga tabia, ushauri wa Jamaa ni mzuri..
Wewe kama Prospective Manager kuandika namna hii inaleta walakini. Fuata Ushauri na uwe unaandika maneno kiufasaha..
Kutumia Namba badala ya maneno kwa kisingizo cha kufupisha Sentensi ni Upumbaf...
 
...,Nashkuru!
 
Nashkuru sana kwa maoni yako ndugu, natumain ntajrekebsha!
 
Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,948
2,000
...,Nashkuru!

Kwa nafasi hiyo nadhani mshahara uwe ni angalau milion moja kwa kiwango cha chini. Wakikuuliza unataka sh ngapi, sema mshahara unaonendana na sifa zangu pamoja na nafasi nitakayokuwa. Wakizoom zaid utaje namba unaweza sema at least milion moja.

Nadhani itakuwa ni ndani ya mategemeo yao pia. Kila la kheri mkuu
 
NOT ENOUGH

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
592
500
Hv n k2 gan hapo ambacho hujakielewa? Coz naona nmejaribu kukuelewesha japo kwa ufup ili uweze kutoa ushaur wako kutokana na topic ilyopo bado unatoka nje ya mada, kama huna ujuz wowote ktk hlo bac n bora ukae kmya 2 ndugu coz skuomba kaz Bakita!!

Hapana ngoja muelezwe ukwei huu upuuzi wenu wa Coz na vifupi mnavyotumia unatukera sana
 
Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,547
2,000
Kwa nafasi hiyo nadhani mshahara uwe ni angalau milion moja kwa kiwango cha chini. Wakikuuliza unataka sh ngapi, sema mshahara unaonendana na sifa zangu pamoja na nafasi nitakayokuwa. Wakizoom zaid utaje namba unaweza sema at least milion moja.

Nadhani itakuwa ni ndani ya mategemeo yao pia. Kila la kheri mkuu

Nashkuru sana kwa ushauri wako Mzuri na Mungu akubariki sana ndugu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom