Petrol station manager!

Petrol station manager!

Hv n k2 gan hapo ambacho hujakielewa? Coz naona nmejaribu kukuelewesha japo kwa ufup ili uweze kutoa ushaur wako kutokana na topic ilyopo bado unatoka nje ya mada, kama huna ujuz wowote ktk hlo bac n bora ukae kmya 2 ndugu coz skuomba kaz Bakita!!
Useless Degree holder.
 
Kwa nafasi hiyo nadhani mshahara uwe ni angalau milion moja kwa kiwango cha chini. Wakikuuliza unataka sh ngapi, sema mshahara unaonendana na sifa zangu pamoja na nafasi nitakayokuwa. Wakizoom zaid utaje namba unaweza sema at least milion moja.

Nadhani itakuwa ni ndani ya mategemeo yao pia. Kila la kheri mkuu

Wakati mwingine kabla ya kuwaambia mshahara inabidi ajifanye kutokuwa na haraka ya kutaja mshahara ikiwezekana ajifanye kama wao waseme walicho nacho kwanza japokuwa waajiri wengi huwa hawataji mpaka wewe mwenyewe ujikaange then ndio anawatajia na ikiwezekana yeye ataje net pay ili wao ndo wafanye kazi ya kuweka mshahara (gross) kiasi gani ili ukikatwa kodi na percent inayoenda mfuko wa jamii inabaki ela ambayo anaitaka. Mara nyingi huwa tunataja mishahara let say nataka milioni 2 na kweli watakupa na wewe utakuwa una matarajio flani baada ya kusaini lakini ukija mwisho wa mwezi unakuta imekatwa kodi na kushuka kinoma na kama hakuna allowance ya nyumba inakuwa balaa, kwa kuwa tuna shida ya calculation ya PAYE kinachotakiwa ataje net pay tu
 
Back
Top Bottom