Petrol imeadimika mno tokea jana

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Vilio kwa ndugu na jamaa hasa bajaj,bodaboda na gari nyingi zinazotumia mafuta ya petrol ni kikubwa kuanzia jana.

Mfano eneo la kuanzia Moshi mjini hadi Arusha kuanzia jana ni vituo vichache mno vilivyokuwa na mafuta ya petrol!

Vilevile muda huu kwa mujibu wa mimi mwenyewe nikiwa hapa mji wa Babati, Manyara ni karibia vituo vyote havina nishati ya petrol ukianzia na kituo cha mafuta cha Lake Oil.

Tujuzane,vipi huko ulipo?!
 
ni kweli kabisa jana wakati natoka kibosho umbwe nikajua nitajaza mafuta panone ya technical miss ilianzia kibosho road kufika hakuna mafuta ngoma ikagomea magereza ikabidi bodaboda ihusike hadi total ya keep left pale kuringe social hall ki ujumla mji wa moshi ni kama kuna mgomo wa wenye vituo vya mafutakuyauza
 
Itakuwa wamehifadhi ili wakwepe kushusha bei kwa kigezo cha kuadimika.Au mwenzangu waonaje?
 
ni kweli kabisa jana wakati natoka kibosho umbwe nikajua nitajaza mafuta panone ya technical miss ilianzia kibosho road kufika hakuna mafuta ngoma ikagomea magereza ikabidi bodaboda ihusike hadi total ya keep left pale kuringe social hall ki ujumla mji wa moshi ni kama kuna mgomo wa wenye vituo vya mafutakuyauza
..miye ngoma ilikula hola kuanzia Panone ya King'oli pia Munio ya hapo ilikuwa hakuna ilibidi bodaboda ihusike hadi Kikatiti.
 
Back
Top Bottom