PZ opportunist,kweli wabongo wengi huwa tunakuwa wagumu kumkubali mtu! Akiwa nyamongo alikuwa akifanya kazi za kawaida hadi alipoanza kupata mtaji na kufanya zake, baadae akaanza biashara za usafirishaji, hakuna basi iliyoondolewa trm-mwanza kwa ubabe, alichofanya ni kuboresha huduma zake na kujua matakwa ya wateja wake, mfano kupunguza vituo visivyo vya lazima, level sit, magari yenye service nzuri na hivyo minimum break down,tuache ujinga wa kusema ndagu nk tufanye kazi kwa kuiga waliyofanikiwa, sio kuharibia watu majina, kwa mazingira alioanzia kazi ilikuwa lazima kuadopt ubabe ili mambo yake yaendelee, baada ya watu kuelewa principle zake the man is so polite! Congrants MT PETRO the legend